Rais Magufuli, ulipotaja kuwa umezalisha ajira milioni 6 huoni kuwa unanidanganya hata mimi?

Rais Magufuli, ulipotaja kuwa umezalisha ajira milioni 6 huoni kuwa unanidanganya hata mimi?

Mkuu andiko lako sijapenda kwa nini umeamua kuandika haya leo na juzi ,hii pana sijaipenda kama mkuu anakufaham vizuri na mnafamiana why ulete hapa kwa nini usimfuate ukamnongoneza
Naionya jamii maana mkuu hata mkikaa mkaongea kesho anakuja kivingine kabisa.
 
Rais wangu, hivi unajua kuwa pamoja na kukupinga sana ila ni miongoni mwa watendaji wako wasaidizi wakuu ndani ya serikali? Kwa taarifa yako ninasimamia moja ya taasisi ambazo kwa siku za hivi karibuni umeelekeza macho yako yote pale. Nipo na vijana wako unaowatuma kila siku na mambo yanaenda vizuri sana kwao chini ya usimamizi wangu usiofuata mkumbo wala ulambaji viatu. Pale ofisi ya msajili mkuu wa Hazina ni nyumbani kwangu na tunafanya vikao kila mara.

Twende kwenye mada.

Unajua kuwa mimi ni mwenyeji mkubwa pale Hazina? Unajua kuwa naelewa madudu yote uliyofanya dhidi ya sekta binafsi kuanzia mwaka 2016 mpaka jana? Unajua kuwa ninazo taarifa za uhakika kuwa kwa utaifishaji holela na uvurugaji wa mipango uliofanya nchi nzima umegharimu ajira za watu siyo chini ya elfu 50?

Naomba nikueleze kuwa siyo kila msaidizi wako anafurahishwa na jinsi unavyoendesha nchi! Naomba kwa leo niishie hapo ila nyongo ikizidi itatoka!

Tukutane Dodoma kesho kwenye ripoti muhimu uliyotutuma kuifanyia kazi Dar!
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuthubutu kusema kuwa ametengeneza ajira 6m, hii utusaidie tumjue jinsi alivyo kichwani
 
Rais wangu, hivi unajua kuwa pamoja na kukupinga sana ila ni miongoni mwa watendaji wako wasaidizi wakuu ndani ya serikali? Kwa taarifa yako ninasimamia moja ya taasisi ambazo kwa siku za hivi karibuni umeelekeza macho yako yote pale. Nipo na vijana wako unaowatuma kila siku na mambo yanaenda vizuri sana kwao chini ya usimamizi wangu usiofuata mkumbo wala ulambaji viatu. Pale ofisi ya msajili mkuu wa Hazina ni nyumbani kwangu na tunafanya vikao kila mara.

Twende kwenye mada.

Unajua kuwa mimi ni mwenyeji mkubwa pale Hazina? Unajua kuwa naelewa madudu yote uliyofanya dhidi ya sekta binafsi kuanzia mwaka 2016 mpaka jana? Unajua kuwa ninazo taarifa za uhakika kuwa kwa utaifishaji holela na uvurugaji wa mipango uliofanya nchi nzima umegharimu ajira za watu siyo chini ya elfu 50?

Naomba nikueleze kuwa siyo kila msaidizi wako anafurahishwa na jinsi unavyoendesha nchi! Naomba kwa leo niishie hapo ila nyongo ikizidi itatoka!

Tukutane Dodoma kesho kwenye ripoti muhimu uliyotutuma kuifanyia kazi Dar!
Ajira may be 7m.
Jiulize reli ya Tanga vijana wangapi wanafanya, wanakula nini wanalala wapi

Mama ntilie hana shamba ananunua wapi mahitaji, hayo mahitaji yanasafirishwa yaani ni chain hadi kwa mkulima na muuza mbolea.
Haya reli zingine pia ya Dar isaka, reli ya umeme, bwawa la umeme bado hujaelewa tu na kuwa mwenyeji wa hazina!?
Acha ushamba.
Je una habari Dodoma tu kuna wafanyakazi wa serikali wamehamia 15,000
Huoni sector ya ujenzi ime boom wewe uko hazina tu.
Drs wameajiriwa
Sometimes we have to be real.
 
Zamani nilikuwa nikiwadharau mama ntilie, nilipokuja kufanya utafiti wa kipato chao cha siku ns kushuhuda maendeleo yao ilijikuta najutia maono yangu. Ujinga wetu ni kutojua kuona fulsa, unakuja situkia barakoa zimebadili maisha ya watu. Ndipo unaanza kumkumbuka marehemu Ruge[emoji23][emoji23]
Hahahaha, ni kweli kabisa Mkuu usemalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Sawa Mkuu ,sikatai lakini huoni mtoa mada au mada imekaa kinafiki,namanisha kwa nini hakuyasema haya hata mwezi mmoja kabla kasubili mpaka bunge limevunjwa ndo anayasema? Lakini kama si unafiki kwa nini kuendelea fanya kazi na mtu ambae hukubaliani nae ,why usiachie nafasi unayoitumikia ili kujitenga na dhambi iyo maana ata ukifa njaa bado hutaonekana shujaa kuliko kujificha nyuma ya kibodi huku bado unaendelea lipwa na posho za kusafili na huyo huyo ambaye amempa za uso .
Mwisho kama kweli ameona kuna tatizo na kiongozi husika alie mtaja ok anatusaidiaje?

Huyo mtu yuko kwenye hiyo ajira kabla hata huyu jamaa hajawa na hii nafasi, sasa aache kwani alianza hiyo kazi kwa ajili ya kumfurahisha boss huyu? Ingekuwa huyu boss huo mshahara anaomlipa ni hela zake za mfukoni, hapo haya maoni yako yangekuwa na nguvu. Jitahidi kutenganisha kazi binafsi, na kazi ya umma.
 
Ajira mil 6 kwa miaka 5 ambayo ni miezi 60

Maana yake kila mwezi kulikuwa na wastani wa ajira mpya 100,000.

Haya bhana, kama tunaamini tunajenga SGR kwa "fedha zetu", basi hata hili tulikubali tu.
 
Rais wangu, hivi unajua kuwa pamoja na kukupinga sana ila ni miongoni mwa watendaji wako wasaidizi wakuu ndani ya serikali? Kwa taarifa yako ninasimamia moja ya taasisi ambazo kwa siku za hivi karibuni umeelekeza macho yako yote pale. Nipo na vijana wako unaowatuma kila siku na mambo yanaenda vizuri sana kwao chini ya usimamizi wangu usiofuata mkumbo wala ulambaji viatu. Pale ofisi ya msajili mkuu wa Hazina ni nyumbani kwangu na tunafanya vikao kila mara.

Twende kwenye mada.

Unajua kuwa mimi ni mwenyeji mkubwa pale Hazina? Unajua kuwa naelewa madudu yote uliyofanya dhidi ya sekta binafsi kuanzia mwaka 2016 mpaka jana? Unajua kuwa ninazo taarifa za uhakika kuwa kwa utaifishaji holela na uvurugaji wa mipango uliofanya nchi nzima umegharimu ajira za watu siyo chini ya elfu 50?

Naomba nikueleze kuwa siyo kila msaidizi wako anafurahishwa na jinsi unavyoendesha nchi! Naomba kwa leo niishie hapo ila nyongo ikizidi itatoka!

Tukutane Dodoma kesho kwenye ripoti muhimu uliyotutuma kuifanyia kazi Dar!
mkuu embu tutoe tongotongo kidogo
 
Tanzania ajira hazifiki million 2 kwa ujumla wake.
Izifiki hiyo idadi . Laki Saba minus ndo idadi ya ajira Tz . Huu ni mwaka wa nne Sina ajira. Pamoja na kufight kote sijapata hata dili la kubeba zege Kwenye mradi SGR
 
Uthibitishie umma kuwa magu kateta uongo..?
Hata ukiweza kututhibitishia hapohapo jiulize swali hili "kwanini watu wanachepuka"
Ukijijibu hilo then fatilia mfumo tulioiga wa siasa unaendeshwaje hapo hautapata tabu kujisumbua!
Wewe mpumbavu, Magufuli kaharibu uchumi wa Tanzania halafu alivyo mpumbavu linaidanganya Dunia eti limetengeneza ajira mil 6,Pathetic kabisa hili jamaa, lifie mbali huko
 
Wanakuja watakwambia fisadi leo nilikuwa bungeni aliposema ajira direct 1milion+ na inderect 6milion mkapa aliinama na kutizama chini sema kamera sijuwi kama zimeona duh!

Yaani ajira direct 1milion zina impact kubwa sana kwenye uchumi tungekuwa tunaona imagine ukate mishahara yao kodi kwa 11% mapato ya serikali yangekuwaje.

Jamaa anaonekana ni mpishi mzuri wa pilau.
Hilo ni Bwege la mabwege
 
Wakiajiri watu wote hao tusingelala kwa matarumbeta ya wasifiaji kama kwenye Corona kulivyotungwa mistari.Hakuna hizo ajira Bali anafurahisha genge.
Alisema akimaliza uhakiki anapandisha mishahara hadi leo hakuna.Sifa za Jukwaani zinazoambatana na stress.
Halafu jamaa hajuagi hata uongo, wenzake wanatia uongo unaofanana na ukweli yeye anatwanga tu. Bora hata waziri mkuu kadanganya kasema Ajira laki sita. Hapo kaongeza kama laki tatu. Maan ajira zote kwa miaka mitano hazifiki laki tatu.
 
Kama wewe hukuwa na Bureau de Change usilalamike wenye akili wote wanafahamu nini kilikuwa kinafanywa na Bureau ile ni ujasusi hii nchi ingekuwa dry hivi sasa kama hatua zisingechukuliwa mapema. Hivi hujiulizi kwa nini punda wote wa madawa ya kulevya walikuwa wanatoka Tanzania na fedha zao zinalipwa abroad kutoka Tz tena kwa forex
Kataifisha fedha za wafanyabiashasha maduka ya ubadilishaji fedha, nk

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
na
 
Nimesoma huu uzi nikajiuliza sana! hivi kuna Mtanzania anaamini kwa dhati kabisa kuwa NEC inaweza kumtangaza mtu mwingine kinyume na maagizo ya CCM! Hawa NEC ambao wanaweza kubadilishwa hata siku ya uchaguzi!

Watu wamemsahau Jecha na TVZ , akiumwa tumbo na dawa kunyea studio!

Leo Zitto anahojiwa kuongea na ubalozi na msajili wa vyama. Hivi Zitto kama anaomba visa angefanya nini?
Hivi kuna sheria gani ya Zitto kutongea na ubalozi lakini CCM wamtembeze balozi wa China mikutanoni?

Leo Takukuru wanapitia hesabu za michango ya Chadema, ni hao hao Takukuru hawakhoji Mashinj kulipiwa milioni 38 na CCM.

Mumesahau ''fomu'' hazitahitajika kutolewa kwa wagombea?

Hapo bado Polisi hawajaingia, halafu kuna tawi maarufu la Kivukoni
 
Ajira may be 7m.
Jiulize reli ya Tanga vijana wangapi wanafanya, wanakula nini wanalala wapi

Mama ntilie hana shamba ananunua wapi mahitaji, hayo mahitaji yanasafirishwa yaani ni chain hadi kwa mkulima na muuza mbolea.
Haya reli zingine pia ya Dar isaka, reli ya umeme, bwawa la umeme bado hujaelewa tu na kuwa mwenyeji wa hazina!?
Acha ushamba.
Je una habari Dodoma tu kuna wafanyakazi wa serikali wamehamia 15,000
Huoni sector ya ujenzi ime boom wewe uko hazina tu.
Drs wameajiriwa
Sometimes we have to be real.
Ajira 6,000,000 sio mchezo wewe mwenyewe umeshindwa kujistfy
 
Back
Top Bottom