Uchaguzi 2020 Rais Magufuli umetutia sana Moyo vijana wako kwenye suala la ajira

Sio Rahisi kwa Kiongozi mkubwa ku-admit mateso ya vijana..

Na kakiri kwamba ATALISHUGHULIKIA suala la ajira kwa NGUVU zote.

Msema kweli ndie mpenzi wa MUNGU .


Vijana twendeni pamoja na Rais Magufuli.View attachment 1598263
Atalishughulikia lini na kivipi?.Vipi kama Novemba akaapishwa mwingine,asiwe yeye?.Nadhani bila kutafuta dawa ya kukomesha siasa za mtindo huu tutaendelea kuimba nyimbo za akina Young Dee "Bongo bahati mbaya" kitu ambacho ni kumkufuru Mungu wazi wazi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hii miaka mitano yaani 2015-2020 hii awamu haikuweka kipaumbele kabisa kwenye ajira labda kama watarudi tena ikulu.

Wanasiasa wanalitumia hili kundi la vijana waliokosa ajira kama daraja la kuwafikisha kwenye madaraka na kisha wanawatosa.
Siku hizi wakitangaza Ajira baada ya kuona Intake ya tangu 2015 hawakupata Jira wanawabana kwenye Umri. Muombaji asizidi miaka 25!!! Waliozidi tupa kuleeeee
 
Wewe acha kuwasaliti vijana wenzako! Watu wanateseka kwa kukosa ajira pamoja na PhD zao wewe unasifia utopolo?!
 
Mwandiko kama madam CocoChannel, wakisaidiana na Bashite chini ya usimamizi wa Gwajiboy!😀

Ungeacha namba ya simu, siyo email, ili akupigie simu, uteuliwe jukwaani kuwa DC.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kinachoniuma zaidi, wakati anafungua kampeni alisema haya aliyoyafanya ni kidogo mengi yanakuja, maanayake kama hajaajiri ipasavyo miaka mitano ndo hataajiri kabisa.

Nadhani kuanzia mwaka kesho ukisema hamna ajira unakamatwa na unapewa kesi kuhujumu uchumi, hapo ndo tutaelewana, uwe CCM au uwe vyama vingine. Huyu jamaa ana kiburi sana
 
Serikali haiwezi kutoa asilimia 80 ya ajira,ni uongo wa aibu.
 
Sio Rahisi kwa Kiongozi mkubwa ku-admit mateso ya vijana..

Na kakiri kwamba ATALISHUGHULIKIA suala la ajira kwa NGUVU zote.

Msema kweli ndie mpenzi wa MUNGU .


Vijana twendeni pamoja na Rais Magufuli.View attachment 1598263
Usiwatie upofu. Aliahidi maslahi mazuri kwa watumishi mwaka 2015, kafanya kinyume chake. Mkimpa kura mjue mtalimia ulimi, sio meno tena. Future yenu ni sasa.
 
Sio Rahisi kwa Kiongozi mkubwa ku-admit mateso ya vijana..

Na kakiri kwamba ATALISHUGHULIKIA suala la ajira kwa NGUVU zote.

Msema kweli ndie mpenzi wa MUNGU .


Vijana twendeni pamoja na Rais Magufuli.View attachment 1598263
Mavi.jana mengi ya Tanzania yamejaza uto.ko kichwani badala ya ubongo! Wewe mwamba kichwa chako umekigeuza hifadhi ya chawa badala ya akili!
 
Nimesoma title bila content ila kwa kauli ile ya mgombea kumlaumu rais aliyepita kwamba vijana walikuwa hawana ajira ni ya kusikitisha as if rais alikuwa ni chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…