Uchaguzi 2020 Rais Magufuli umetutia sana Moyo vijana wako kwenye suala la ajira

Huyu jamaa anao mpango wa kutufukarisha. Hafai, hafai kabisa. Anaharibu jambo katika jina la kusahihisha bila kuwa na mbadala.
 
Namba tutaisoma vzuri this time
 
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Haahaa wadanganye haohao.kipindi hiki cha mwisho jpm akipita tutalimia ulimi...
Utalimia ulimi wewe na familia yako kwa ukomo wako wa kufikiri. Binafsi sina huo mpango wa kulimia ulimi, sijawahi na haitatokea kirahisi, hata akiingia kiongozi yoyote yule.
 

Yawezekana unajizungumzia wewe mwenyewe ukisahau kuwa zaidi ya Watanzania 70% wanaishi vijijini. Vilevile theluthi mbili ya nguvu kazi ya nchi ipo vijijini na inajihusisha na kilimo, ufugaji na uvuvi lakini nguvu kazi hii inapata theluthi moja tu ya pato la Taifa, ni wazi kwamba tija ni ndogo. Hivyo basi, yafuatayo ukitaka kuelewa, yatakupa jibu unalotaka.

Ili kuongeza tija vijijini na kuleta mageuzi ya kiuchumi kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi, CCM ilitambua kwamba ni muhimu na ikahakikisha vyama vya ushirika vinaendelezwa kwa kuongozwa kitalaamu na kidemokrasia. Vilevile, ikawa lazima Serikali yake kuhakikisha na kusimamia vyama hivi vinalinda masilahi ya wanachama wake kikamilifu na vikaweza kujenga uwezo wa kukuza uzalishaji katika sekta za kilimo na viwanda.

Ni mazao na bidhaa za wazalishaji hawa ndio msingi wa wafanyabiashara hao unadai wamefunga biashara zao wakati huduma yao kwa wakazi wa mijini haijatetereka hata wakati wa korona, ambapo nchi nyingi, hata za jirani zilifunga mipaka. Nina uhakika wafanya biashara waliofunga shughuli zao ni wale waliokuwa wakikwepa kodi.
 
😶😶🤨🤨😏😏😏😐😐😎😎🤔🤔
 
Furaha yake ni kuona watu wakiwa masikini sawa na sokoine at the atapita maisha yatarudi atabakia kusomwa kwenye historia Kama sokoine na sera za kufukarisha watu
Lakini kiongozi, tusivumilie muda wake mpaka uishe, kama kuna nafasi ya kumuondoa tuitumie hiyo aondoke. Miaka 5- 10 tunapiga marktime hapana, mtu akikupiga pini kwa mwa mmoja tu ni muda mwingi mno. Magufuli hana mpango na ustawi wa jamii anayo iongoza, narudia hana, hebu angalia anavyo jichanganya kwenye swala la ajira.
 
Kama ameweza bomoa nchi kwa 5 yrs vipi akipewa tena si tutazidi Zimbabwe.Hakuna mkomunisti yeyeto duniani amewahi leta maendeleo ya watu na ustawi wa Jamii.Makomunisti ni watu wa propaganda na kutaka kuabudiwa tu
 
Jiandae kulimia meno, maana ccm kushinda atashinda kwa zaidi ya 80 %.
 
Swala la walimu wa kiswahili sahau kanisa, mlijidai kujua lugha za nje ni kukosa uzalendo na ni utumwa, hauwezi kwenda nje kufundisha kiswahili kama haujui lugha itakayokuwezesha kufundisha, ona sasa wakenya hao wameitumia fulsa hiyo.
 
Siyo moyo tu huyo mzee kwa fix lazima awatie hadi figo na mnaendelea kuamini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…