Uchaguzi 2020 Rais Magufuli umetutia sana Moyo vijana wako kwenye suala la ajira

Mimi huwa kama nimechelewa kwenye uzi naangalia 'likes', then naweza kujua uzito wa uzi. Kwa saa zaidi ya 13 sasa huna hata like moja. Ina maana hakuna hata mwenye akili ndogo kama au kuliko wewe anayeweza kukupa like? Basi ujue huu uzi wako ni uharo.

Miaka 5 yote alikuwa anafanya nini asiajiri vijana au vijana ndio wataanza kuwepo baada ya uchaguzi? Mmeshaliwa tayari. Danganyikeni tu au wewe danganya wajinga wenzako.
 
Pia 2015 aliwahi kuahidi mil 50 kila kijiji , uliwahi kufuatilia utekelezaji wake ?
 
Nlichogudua na ndo ukwl wenyew,ccm waliandaa sera laini laini kama mlenda za kuja kuwadanganya wananch maana wanawajua watanganyika wanadanganyika kwa urahisi sanaa,kitendo cha kurudi kwa kamamda Lisu kimewavurugaa haswaaa maana walichoplan kuwadanganya wananch hakiwezekani tena maana kila wanapodanganya Lisu anakuja na kuweka mambo sawaa,ss wamejichanganya mpaka wanawaambia wananchi kuwa kitambulisho kinaweza kuwekwa bond bank na kuchukua mkopo kitu ambacho achiliq mbali hao lumumbaa wa ccm hata watt wadogo hawaamini huo utopolo
 
Wewe kama kweli in kijana...na no msomi na bado umekuwa brainwashed namna hii basis inasikitisha sana..maana inaonyeaha hata uwezo au namna yako ya kufikiri haiko vizuri (I means masikini was akili)

# kumbuka binadamu wote tuna akili Ila mara nyingi tunatofautiana namna ya kufikiri(kutokana na sababu mbalimbali)
 
Huyo ni kubwa la waongo akikwambia mambo 10 usishike hata moja. Akili zake anazijua mwenyewe. No wonder he referred to himself as a madman.
 
Vijana msibweteke eti mtapata ajira! Anawasimanga.
Kama tatizo la ajira kwa miaka 5 hakulitatua,unafikiri hii miaka 5 iliyobaki ataweza? Labda nisiseme hivyo.
 
Reactions: BAK
Wazalendo wapo mlima Kilimanjaro wanazima moto wewe unaperuzi hapa jf unajiita mzalendo, labda u mzalendo wa tumbo lako pumbav*.
 
Nakumbuka 2015 alisema na kuahidi mazuri juu ya uhuru wa habari, lakini baada ya kuingia madarakani yote aliyasahau. Mbali ya waandishi wa habari kubanwa na serikali pamoja na aliekuwa mkuu wa mkoa wa dar, pia utumiaji wa internet social media uliwekewa vikwanzo. Sie wengine mheshimiwa hatukusahau hayo!
 
Hongera kwa kupatwa na hisia
 
mkuu bungeni walisema wametengeneza ajira milioni 8 kwenye ilani ajira milioni 6,sasa si ameshatoa ajira ,atapambana kwa nguvu zote atengeneze ajira zipi ?
 
The same level of thinkig will tell you technicians are trusted in the streets of london
 
wasomi hawaitaji kutiwa moyo wanataka ajira
 
Huyo ni kubwa la waongo akikwambia mambo 10 usishike hata moja. Akili zake anazijua mwenyewe. No wonder he referred to himself as a madman.
Ogopa sana watu wa namna hii wameshindwa kueleza wametufanyia nn na watafanya nn wamebaki wanatia huruma ogopa sana watu wa namna hii ni hatari sana
 
Reactions: BAK
Ninakubaliana na hoja kuwa upo uwezekano kabisa wa kushughulikia ajira awamu ijayo ili mradi misingi ifuatayo izingatiwe:
1.kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na biashara hususani kupitia upya mifumo na sheria za kodi na tozo ili sekta binafsi ipanuke kiajira badala ya kutegemea ajira serikalini
2. Kujenga mazingira ya vijana kujiajiri kwenye sekta isiyo rasmi na kwa kuwapatia mikopo ya shughuli za kiuchumi
3. Kufungua fursa mbalimbli za kiuchumi kwa vijana i.e ajira ya michezo, muziki, maigizo etc
4. Kufungua milango ya kurahisisha ajira kwenye kilimo
5 ajira nje ya nchi.
YOTE YANAWEZEKANA. TUMPE TENA DK MAGUFULI ANA MBINU ZOTE.
 
Uko sahihi kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…