Rais Magufuli utakuwa umetenda jambo jema sana kama utaruhusu ligi yetu ya mpira wa miguu kuendelea ndani ya mwezi huu

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Wote tunafahamu kuwa michezo ni afya..wakati dunia nzima kukiwa tumebakiwa na league chache tu zinazoendelea za Mpira wa miguu, kumezifanya ligi hizo zijipatie umaarufu mkubwa. Ligi zilizobaki ni ligi kuu ya Beralus, ligi daraja la pili ya beralus, ligi kuu ya Nicaragua, ligi kuu ya Turkmenistan, ligi kuu ya Taiwan na mapema wiki ijayo ligi kuu ya Korea Kusini inatazamiwa kuendelea.. Hivyo natoa wito kwa mamlaka husika kuruhusu ligi ya Mpira wa miguu (VPL) kuendelea ili vilabu viweze kujipatia pesa za matangazo ya television na kuipatia umaarufu duniani.
 
anatafuta wapi kuna weak points ku win the masses. anajua michezo ina watu wengi..... atawafurahisha na kupata support
Toka chato uje DDM/DSM ukutane na watu tutajua korona imekwisha
 
anatafuta wapi kuna weak points ku win the masses. anajua michezo ina watu wengi..... atawafurahisha na kupata support
Toka chato uje DDM/DSM ukutane na watu tutajua korona imekwisha
Utakuwa shabiki wa mbumbumbu. Mnahofu Mo hatakuwa na fedha kipindi hiki cha corona kuwapa mnunue mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The way hiyo kitu ita boost maambukiz at very high rate is such a way hatutokuwa salama sana. Hata waki enforce laws viwanjan. Kwa jinsi wabongo walivyo na mizaha hawatojli tena. Watajiachia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utashangaa wale waheshimiwa waliojifungia wanawasha kideo kuangalia mechi za yanga

wewe una shida ya maisha! Kwani hizo tv na vifurushi vya kuangalizia hizo mechi unawanunulia wewe?
 
Tuendelee kutumia akili za mtu mmoja tutaelewana tu baadaye.

Kama kwenye ukoo wako hakuna aliyekufa na kuugua corona utashangilia sana
muda mwingine natamani corona imdedishe huyo mtu mmoja ili tutie akili
 
Hiyo ni habari mbaya kwa utopolo fc maana hakuna kitu wataambulia



"Not everything is for everybody"
Unajua mafioso style wewe..mdosi kachoka watu watacheza mechi zote za mikia alafu Chuma mwenyewe atakuwa anaangalia mechi zote live
 
Bahati mbaya wanaoombea wanzao kifo hutangulia wao

Utakufa tu chief utawaacha unaowachukia wanadunda ! Mungu wa ajabu sana [emoji3]
muda mwingine natamani corona imdedishe huyo mtu mmoja ili tutie akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…