Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Mikia mnahitaji points 13 ndio mtangaze ubingwa..mshinde mechi nne na draw moja katika mechi 10..kutuma sms mbili mbili ni jazba? unajua msimamo wa ligi?unajua kama Simba anahitaji kufunga mechi 3 kati ya 11 kutangazwa bingwa?