Rais Magufuli utakuwa umetenda jambo jema sana kama utaruhusu ligi yetu ya mpira wa miguu kuendelea ndani ya mwezi huu

Rais Magufuli utakuwa umetenda jambo jema sana kama utaruhusu ligi yetu ya mpira wa miguu kuendelea ndani ya mwezi huu

kutuma sms mbili mbili ni jazba? unajua msimamo wa ligi?unajua kama Simba anahitaji kufunga mechi 3 kati ya 11 kutangazwa bingwa?
Mikia mnahitaji points 13 ndio mtangaze ubingwa..mshinde mechi nne na draw moja katika mechi 10..
 
Kutokana na kauli ya raisi ,Ni kwel corona inaweza ikawa inawakwepa wachezaji au wakawa wanaipata lakini isiwaathiri Sana kwa sababu wanafanya mazoezi na kinga zao mwili ziko vizuri, juzi Kati hapa nilisikia kua mchezaji Wa juventus RAIA Wa Argentina Paulo dyabala anaumwa corona na amepima zaidi ya Mara NNE kwnye wiki tofauti tofauti lakini bado hajapona , sasa basi hawa wachezaji hawaathiriki Sana na corona lakini hawa wachezaji wana familia, wanawatoto pia Mke , VIP na hawa wanafamilia hawaathiriki na corona pia , kwan wenyewe wanaweza wakawa carrier to wakorona na kwenda kuambukiza jamii zinawazunguka na kuleta madhara Makubwa kwa jamii inayowazunguka , kwa hill muheshimiwa anatakiwa afikirie zaidi,
Chukua tahadhari corona ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Insanity.

Au watu wanatolewa kafara hatujui?

Kwanza atoke shimoni, aje Dar ajichamganye Kariakoo ndiyo ligi iendelee.
 
Insanity.

Au watu wanatolewa kafara hatujui?

Kwanza atoke shimoni, aje Dar ajichamganye Kariakoo ndiyo ligi iendelee.
ujinga wa kiwango cha juu. bodi ya ligi na tff badala ya kumshauri rais wao ndio wanashauriwa wakijua kabisa maambikizi ni makubwa na yanazidi kila siku.
 
Acha
kutuma sms mbili mbili ni jazba? unajua msimamo wa ligi?unajua kama Simba anahitaji kufunga mechi 3 kati ya 11 kutangazwa bingwa?
Wacha maneno yako weee barakoa fc. Inahitajika ashinde mechi si chini ya 5, usidanganye watu au barakoa zenu zimedoda?
 
Back
Top Bottom