Mikia mnahitaji points 13 ndio mtangaze ubingwa..mshinde mechi nne na draw moja katika mechi 10..kutuma sms mbili mbili ni jazba? unajua msimamo wa ligi?unajua kama Simba anahitaji kufunga mechi 3 kati ya 11 kutangazwa bingwa?
Kwani sasa hivi wanapataje mapato na Ligi imesimamaTatizo linakuja timu zinapatake mapato. Hasa timu ndogo!
Nikijibu utauliza wakati msimu ukiwa umeisha wanapataje mapato.Kwani sasa hivi wanapataje mapato na Ligi imesimama
"Not everything is for everybody"
ujinga wa kiwango cha juu. bodi ya ligi na tff badala ya kumshauri rais wao ndio wanashauriwa wakijua kabisa maambikizi ni makubwa na yanazidi kila siku.Insanity.
Au watu wanatolewa kafara hatujui?
Kwanza atoke shimoni, aje Dar ajichamganye Kariakoo ndiyo ligi iendelee.

Watu tunaupenda mpira lakini hali vizuri kwanza. Hawa machizi sana.ujinga wa kiwango cha juu. bodi ya ligi na tff badala ya kumshauri rais wao ndio wanashauriwa wakijua kabisa maambikizi ni makubwa na yanazidi kila siku.
Wacha maneno yako weee barakoa fc. Inahitajika ashinde mechi si chini ya 5, usidanganye watu au barakoa zenu zimedoda?kutuma sms mbili mbili ni jazba? unajua msimamo wa ligi?unajua kama Simba anahitaji kufunga mechi 3 kati ya 11 kutangazwa bingwa?