Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

mtu anaona kabisa hii nyumba kwa 85ml siwezi uza. Ila sababu sijajengea hela yangu na nimepiga cha juu ntauza hiyo hiyo. Nikiuza nisiuze poa tu.
 
Well said kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu anaona kabisa hii nyumba kwa 85ml siwezi uza. Ila sababu sijajengea hela yangu na nimepiga cha juu ntauza hiyo hiyo. Nikiuza nisiuze poa tu.
JK alikuwa anawasifia kweli hao wakurugenzi,angalia madudu yao!!!
 
Mkumbushe pia kwamba kuna kitu inaitwa collective responsibility kwenye serikali.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika nimeifuatilia kwa umakini hotuba ya Mh.Rais na viongozi wa vyama vya wafanyakazi.Kati ya kero ni pamoja na viongozi wa mifuko ya hifadhi kutumia fedha za wachangiaji kuanzisha miradi kama wa DEGE Kigamboni mradi usio na tija zaidi kuhujumu mifuko.Mh.Rais kwa kuwa wahusika wapo ni bora Ukwachukulia hatua ili iwe fundisho kwa viongozi wengine wa Mifuko ya hifadhi.Pia ni vema Majengo yaliyojengwa DEGE yakapigwa mnada na fedha zikaingizwa kwenye mifuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said! Bravo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu anaona kabisa hii nyumba kwa 85ml siwezi uza. Ila sababu sijajengea hela yangu na nimepiga cha juu ntauza hiyo hiyo. Nikiuza nisiuze poa tu.
Yaani mijamaa mingese sana, now inatupa shida kwenye kuipata hela yetu. Mungu awalaani laana zote, awashushie tauni wao na walionufaika kwa namna yoyote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…