Hide my ID plz
Jiwe akizinduka natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua. Kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi tena.
Sawa princeNdio ujinga Mnaojazana Wanachadomo? Bwabwajenitu. Mzee wakazi hana Muda wa kuwajibu waendawazimu kama nyie.
Wapambe watauaEmbu tucheze kamali kidogo tujue huyu mzee yupo kweli au hayupo,
Roma ampitie lissu hapo Brussels waje tuangalie kama nyumba haina mwenyew. ni mtazamo
Huyo jamaa anavyopenda sifa siku zote hizo anazushiwa asiropoke, labda sio MPJ nnae mfahamuNdio ujinga Mnaojazana Wanachadomo? Bwabwajenitu. Mzee wakazi hana Muda wa kuwajibu waendawazimu kama nyie.
Tembea uchi tu mzee kwani ni shilingi ngapiJiwe akizinduka natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua. Kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi tena.
Mpuuzi wewe wananchi unataka kuwaongezea mzigo? Waziri anafanya kazi peke yake hakuna wakurugenzi wa wizara na staff wengine? kwanza ilitakiwa wizara zisiwe zaidi ya 7Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasima Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheei wa afya na anachapa kazi Ikulu".
Naye Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akasema, "nchi iko salama, tushikamane kuliko wakati wowote."
Kwa kauli hizi ninaamini Mkulu yuko bize Ikulu akipiga kazi kama ilivyo slogan yake "hapa kazi tu".
Kama mwananchi wake namshauri katika hizo kazi anazochapa basi aivunje Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto. Hii wizara ni kubwa mno.
Napendekeza, kutokana na unyeti wa suala la Afya, Afya ibaki peke yake na Waziri wake. Hayo mengine yabaki kama Wizara ya Jamii.
Popote duniani wizara ya Afya ni sekta nyeti mno. Vita hii ya Covid-19 imethibitisha unyeti wa wizara hii. Ni vigumu yule mama kujigawa kushughulika na afya na hapo hapo ashughulike ni wazee, kina mama na watoto. Tunaweza kuona alivyofeli kuongoza wizara hii lakini kimsingi ni ukubwa na upana wake.
Hizo kazi unazochapa Ikulu, chapa na hili. Ahsante.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Huko alipo atakuwa na hasira snHuyo jamaa anavyopenda sifa siku zote hizo anazushiwa asiropoke, labda sio MPJ nnae mfahamu
Aivunje hiyo Wizara yee akiwa wapi??Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasima Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheei wa afya na anachapa kazi Ikulu".
Naye Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akasema, "nchi iko salama, tushikamane kuliko wakati wowote."
Kwa kauli hizi ninaamini Mkulu yuko bize Ikulu akipiga kazi kama ilivyo slogan yake "hapa kazi tu".
Kama mwananchi wake namshauri katika hizo kazi anazochapa basi aivunje Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto. Hii wizara ni kubwa mno.
Napendekeza, kutokana na unyeti wa suala la Afya, Afya ibaki peke yake na Waziri wake. Hayo mengine yabaki kama Wizara ya Jamii.
Popote duniani wizara ya Afya ni sekta nyeti mno. Vita hii ya Covid-19 imethibitisha unyeti wa wizara hii. Ni vigumu yule mama kujigawa kushughulika na afya na hapo hapo ashughulike ni wazee, kina mama na watoto. Tunaweza kuona alivyofeli kuongoza wizara hii lakini kimsingi ni ukubwa na upana wake.
Hizo kazi unazochapa Ikulu, chapa na hili. Ahsante.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Wacha yeye avunjwe kwanza.Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasima Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheei wa afya na anachapa kazi Ikulu".
Naye Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akasema, "nchi iko salama, tushikamane kuliko wakati wowote."
Kwa kauli hizi ninaamini Mkulu yuko bize Ikulu akipiga kazi kama ilivyo slogan yake "hapa kazi tu".
Kama mwananchi wake namshauri katika hizo kazi anazochapa basi aivunje Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto. Hii wizara ni kubwa mno.
Napendekeza, kutokana na unyeti wa suala la Afya, Afya ibaki peke yake na Waziri wake. Hayo mengine yabaki kama Wizara ya Jamii.
Popote duniani wizara ya Afya ni sekta nyeti mno. Vita hii ya Covid-19 imethibitisha unyeti wa wizara hii. Ni vigumu yule mama kujigawa kushughulika na afya na hapo hapo ashughulike ni wazee, kina mama na watoto. Tunaweza kuona alivyofeli kuongoza wizara hii lakini kimsingi ni ukubwa na upana wake.
Hizo kazi unazochapa Ikulu, chapa na hili. Ahsante.
Au nasema uongo ndugu zangu!
una mwanasheria?Aongoze akiwa mawinguni sio?
anafanania kabisa na wakina mwajuma NCHOKONOE wa buzahuyo mama hana haiba ya waziri mlibugi
Uko sahihi mkuu kwa hali ilivo huku mtaani ni shida.Ukitaka kumtesa Mtanzania, mnyime Habari anayotaka kuisikia kwa hamu na shauku kubwa. [emoji16][emoji16][emoji16] ni mtazamo tuu msikasirike washkaji
Mmmmm, subiri kidogo! Unataka hayo yafanyike lini? Mimi sipo, subiri wenyewe warudi, watakupa jibu.Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasima Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheei wa afya na anachapa kazi Ikulu".