General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Bebyuna mwanasheria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bebyuna mwanasheria?
bebe😘Beby
ila usitembee mitaha ya keko mkuu unaweza ukafa ukiwa umepoteza .Jiwe akizinduka natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua. Kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi tena.
Meko avunje Wizara ? Ye mwenyewe kesha vunjwa na COVID19Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheri wa afya na anachapa kazi Ikulu".
Naye Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akasema, "nchi iko salama, tushikamane kuliko wakati wowote."
Kwa kauli hizi ninaamini Mkulu yuko bize Ikulu akipiga kazi kama ilivyo slogan yake "hapa kazi tu".
Kama mwananchi wake namshauri katika hizo kazi anazochapa basi aivunje Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto. Hii wizara ni kubwa mno.
Napendekeza, kutokana na unyeti wa suala la Afya, Afya ibaki peke yake na Waziri wake. Hayo mengine yabaki kama Wizara ya Jamii.
Popote duniani wizara ya Afya ni sekta nyeti mno. Vita hii ya Covid-19 imethibitisha unyeti wa wizara hii. Ni vigumu yule mama kujigawa kushughulika na afya na hapo hapo ashughulike ni wazee, kina mama na watoto. Tunaweza kuona alivyofeli kuongoza wizara hii lakini kimsingi ni ukubwa na upana wake.
Hizo kazi unazochapa Ikulu, chapa na hili. Ahsante.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Hajamaliza hayo mafaili tu?Aongoze akiwa mawinguni sio?
Nimekutag ili nione kama kweli utatekeleza jambo hili ulilotamkaJiwe akizinduka natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua. Kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi tena.
Huyo mwehu tu hana nia njema.Nimekutag ili nione kama kweli utatekeleza jambo hili ulilotamka
DuhNimekutag ili nione kama kweli utatekeleza jambo hili ulilotamka
Aisee! Hii ilikuwa ni March, 17! Mida flani kabla ya kutangaziwa rasmi usiku mnene kuhusu mzee kuvuta!! Jamii Forums, ni shida!!! 🤔Hauwezi kushindana na Mungu wale masista waliovaa barakoa wamemsalia novena.pili huwezi kutukana mzungu beberu wakati hadi boxer uliyovaa katengeneza yeye
OkayBaada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheri wa afya na anachapa kazi Ikulu".