Rais Magufuli: Wabunge msiogope kuikosoa serikali, Tukosoeni lakini ukosoaji wenu uwe na tija siyo ilimradi kukosoa tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.

Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.

Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kanuni ya uongozi inasema usiwe mtu wa kushauriwa ovyo ovyo , ni heri ufanye mistake kuliko kupata ushauri mwingi mwingi Kwa wakat mmoja , yaan hapo ndo utapotea kabisa mwisho wa sku kila mmoja atakuona manyanya, waswahili wanasema miluzi mingi hupoteza mbwa....

Back to the topic , ushauri wa wapinzani ulikuwa mixed na chuki na lengo kuu ilikuwa kumu-outclass mweshimiwa ili aonekane hafai anapuyanga tuuu, kitu kingine alichokisema Nape juzi kinamake sense Sana, kwamba wabunge wa CCM last walikuwa kazi yao ni kudefend Kwa sababu ukiruhusu hoja za wapinzani zipae mnaonekana nyie miyeyusho ,

Ila Kwa sasa wana nafas nzuri ya kukosoa Kwa sababu wanajenga nyumba moja na Wana rangi moja .... JPM ana mapungufu mengi Sana ila atakuja akumbukwe kuwa among of the best president in tanzanian history ever, mda ni mwamuzi sahihi
 
Sasa bunge ndio litakuwa lenye tija

Wabunge waupinzani shabaha na malengo yao ilikuwa ni kuivuruga serikali (na Magufuli akiwemo ndani)

Ndio mana kazi ilikuwa ni kupinga wee, kupotosha na kuzusha
 
Kanuni ya uongozi inasema usiwe mtu wa kushauriwa ovyo ovyo , ni heri ufanye mistake kuliko kupata ushauri mwingi mwingi Kwa wakat mmoja , yaan hapo ndo utapotea kabisa mwisho wa sku kila mmoja atakuona manyanya, waswahili wanasema miluzi mingi hupoteza mbwa....

Back to the topic , ushauri wa wapinzani ulikuwa mixed na chuki na lengo kuu ilikuwa kumu-outclass mweshimiwa ili aonekane hafai anapuyanga tuuu, kitu kingine alichokisema Nape juzi kinamake sense Sana, kwamba wabunge wa CCM last walikuwa kazi yao ni kudefend Kwa sababu ukiruhusu hoja za wapinzani zipae mnaonekana nyie miyeyusho ,

Ila Kwa sasa wana nafas nzuri ya kukosoa Kwa sababu wanajenga nyumba moja na Wana rangi moja .... JPM ana mapungufu mengi Sana ila atakuja akumbukwe kuwa among of the best president in tanzanian history ever, mda ni mwamuzi sahihi
Hongera kwa hoja zilizo na mashiko.

Mimi si mwumini wa demokrasia ya vyama vingi kwenye nchi maskini. Viongozi wa upinzani muda wote ni kuvuruga juhudi za Serikali iliyoko madarakani ili ichukiwe na wapiga kura. Wakati huohuo viongozi wa Serikali iliyoko madarakani huogopa kuwachukulia hatua wapinga maendeleo kwa kuogopa kuchukiwa na wapiga kura.

Hicho ndicho kilichotokea toka vyama vya upinzani viasisiwe nchini. Lakini upepo ulibadirika alipoingia Rais Magufuli, mtu asiyeyumbishwa na mthubutu kiasi cha kuwafunga midomo viongozi wa upinzani, wabwabwaji na wenye nia ya kuvuruga juhudi za maendeleo. Matokeo yake kila mtu ameona.

Kwa kuwa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa, ambazo sasa zitanaongozwa na Chama kimoja, tutegemee maendeleo makubwa yatakayotokana na ushindani chanya na hai kati ya Halmashauri zote, na ndani ya Halmashauri (kwa maana ya Majimbo/Kata za uchaguzi).
 
Hahaha yeye rais atakuwa akitoa maelekezo ya nani akosoe na akosoe nini.

Hakuna wa kukosoa kwasababu hata wasipofanya kazi wanateuliwa tena kuwa wabunge ya nini kujisumbua uonekane msumbufu halafu baadaye kwenye uteuzi jina lako likatwe?!
 
Mh. Daktari kaanza vizuri Sana kuongea Ila kaharibu ghafla baada ya kutamka Neno "Lakini........"

Hapo kwa nature ya bunge la Sasa lilivyo hiyo lakini ishawatia uwoga tayari hivyo tutegemee ndio.... Ndio.... Ndio.... Ndio.... Ndio...... Na kupiga makofi kwenye meza mwanzo mwisho.
 
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.

Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.

Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Bunge la kijani kuna itikadi gani nyingine?
 
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.

Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.

Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hoja
P
 
Aliyepewa kushukuru kwa niaba yao + Spika wamekiri wamepita kwa mbeleko yake. Nani wa kukata mkono unaomlisha? Nioneshe mbunge mmoja tu anayeweza kumkosoa Magufuli nami nitakyonesha Bikra aliyelazwa wodi ya wazazi.
 
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.

Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.

Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Eat food from an empty plate! Wabunge wote bila kujali itikadi zao!
 
Hivi uoga katika kutimiza wajibu wako wa kikatiba unatoka wapi?Mzee anathibitisha kuwa serikali alikua inawaelekeza wabunge wa ccm nini cha kuongea bungeni,hawa walikua wanatishwa.
 
Back
Top Bottom