Rais Magufuli: Wabunge msiogope kuikosoa serikali, Tukosoeni lakini ukosoaji wenu uwe na tija siyo ilimradi kukosoa tu!

Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Mkuu nakushauri tafuta maarifa ktk umri wako uliobakia hapa duniani. Tofauti na hivyo unakoelekea utakuwa unaitwa 'babu jinga'
 
Hivi kunawatu humu ni watumwa wa watu, atakosolewa na nani wakati wabunge wote wamepita kwa mbeleko yake, msitufanye sisi wajinga.

watanzania wengi ni mambumbumbu just imagine kuna mbuz imeamin alichosema magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.

Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.

Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Kweli CCM haishi viroja-toka lini wabunge waanaombwa wawe wakosoaji? Tumemsikia Ndugai na Sasa JPM. JPM alisema mpeni wabunge wa CCM anamamlaka ya kuwadhibiti,-sasa hii futuhi yote ya nini au mzee Mgaya anasemaje?
 
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.

Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.

Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Wabunge mumeshibaa Ndiooooooooo wabunge mna njaa Ndioooooooooooo
 
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.

Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.

Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Yetu macho.
 
Kwani kuna wenye itikadi tofauti umo?
 
Wabunge wakikosoa serikali sawa. Mpinzani akikosoa anaitwa msaliti.
 
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.

Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.

Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Meko ni mentalcase
 
Back
Top Bottom