pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Mkuu nakushauri tafuta maarifa ktk umri wako uliobakia hapa duniani. Tofauti na hivyo unakoelekea utakuwa unaitwa 'babu jinga'Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.