johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa bunge ndio litakuwa lenye tijaKuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Hongera kwa hoja zilizo na mashiko.Kanuni ya uongozi inasema usiwe mtu wa kushauriwa ovyo ovyo , ni heri ufanye mistake kuliko kupata ushauri mwingi mwingi Kwa wakat mmoja , yaan hapo ndo utapotea kabisa mwisho wa sku kila mmoja atakuona manyanya, waswahili wanasema miluzi mingi hupoteza mbwa....
Back to the topic , ushauri wa wapinzani ulikuwa mixed na chuki na lengo kuu ilikuwa kumu-outclass mweshimiwa ili aonekane hafai anapuyanga tuuu, kitu kingine alichokisema Nape juzi kinamake sense Sana, kwamba wabunge wa CCM last walikuwa kazi yao ni kudefend Kwa sababu ukiruhusu hoja za wapinzani zipae mnaonekana nyie miyeyusho ,
Ila Kwa sasa wana nafas nzuri ya kukosoa Kwa sababu wanajenga nyumba moja na Wana rangi moja .... JPM ana mapungufu mengi Sana ila atakuja akumbukwe kuwa among of the best president in tanzanian history ever, mda ni mwamuzi sahihi
Anajishitukia baada ya kuona limebaki Bunge la ndio.Unataka kukosolewa halafu unawapangia wakosoaji wakukoseeje? Kichekesho.
Toka leo!Toka lini serikali ikawaomba wabunge waikosoe?Kwani wabunge hawajui wajibu wao?Mambo mengine ni upuuzi,mnawafanya watanzania wote ni wajinga!
Bunge la kijani kuna itikadi gani nyingine?Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hojaKuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyepewa kushukuru kwa niaba yao + Spika wamekiri wamepita kwa mbeleko yake. Nani wa kukata mkono unaomlisha? Nioneshe mbunge mmoja tu anayeweza kumkosoa Magufuli nami nitakyonesha Bikra aliyelazwa wodi ya wazazi.Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Eat food from an empty plate! Wabunge wote bila kujali itikadi zao!Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana kutoka kwa mkuu wa nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Bunge la CCM lina itikadi zipi tofauti?Eat food from an empty plate! Wabunge wote bila kujali itikadi zao!
Unaunga mkono kitu gani?Naunga mkono hoja
P