Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Magufuli aache uongo. Labda kama kapandisha madaraja wafanyakazi wa ikulu. Mie kuna ndugu yangu ana miaka 7 kazini ananiambia hajapandishwa daraja kazini.Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.
Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma eti wameokotwa majalalani.
Source ITV
Maendeleo hayana vyama!
Ni ukweli pia hajaongeza mishahara kwa miaka 5 na alichofanya mwaka huu wa fedha tena juzi mwezi wa saba baada ya kuona kampeni inakuja ndo akashusha kodi kidogo. Kule ni kuwalaghai wafanyakazi kwa sababu kwa nini hakufanya miaka yote nyuma amefanya juzi mwezi wa saba huku akijua kampeni zinaanza mwezi wa nane!!!
Jambo lingine ni pensioen. Watumishi wengi waliostaafu mwaka 2018,2019 na mwaka huu 2020 hawajalipwa pension zao. Wakifuatilia psssf wanaambiwa kuwa mfuko hauna hela. Kumbe yeye kabeba hela kaenda kujenga uwanja chato na kununua mandege