Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Wagombea watarajiwa wa CCM wajipime kwanza kama wanatosha, wasikurupuke tu na kwenda kukiumiza chama


Hapa kwa Lugha nyepesi tu ni kwamba kama umeshajigundua Wewe hauko katika ' Team Magufuli ' usijisumbue Kugombea Nafasi yoyote utajuta!
 
Kwani huyu mzee ana mpango wa kugombea tena jamani
 
Watia nia.wengine..wapi.hao.sasa wakujipima.kwao.kwanza?
 
Aondoe nguvu ya polisi na kuweka time huru hapo huo ubavu wao utatosha
 
Ianzie kwake, yeye atatosha?. .... Watia nia wasishughulikiwe ki Membe Membe ili apatikane aliye bora zaidi.
 
Alete kwanza sera ya ccm 2015-2020 amefanya nini?
Acha roho ya kutu. Ilani ya Ccm imetekelezwa vizuri kabis. Miundo mbinu imeimarishwa, hospital na vituo vya afya vimejengwa,rushwa na ubadhilifu umedhibitiwa na Elimu bure shule ya msingi mpaka form four, we unataka nini?
 
Acha uzushi na chuki za kisiasa. Chadema nyie ni mafisadi.
 
JPM amenena ukweli.
 
Acha roho ya kutu. Ilani ya Ccm imetekelezwa vizuri kabis. Miundo mbinu imeimarishwa, hospital na vituo vya afya vimejengwa,rushwa na ubadhilifu umedhibitiwa na Elimu bure shule ya msingi mpaka form four, we unataka nini?
Mim nataka 50mln za kila kijiji.
 
Mliozoea kupewa kwa kuvua Pichu mjiandae atawefyeka kwelikweli.
 
Mkuu unataka kutuaminisha kua Lwakatale na silinde nao wamenunuliwa?
Mwanaume kutongoza ufanikiwe sio lazima utoe pesa kila wakati, pesa inatumika zaidi km kilainishi, lakini hata mpangilio wa maneno yako pekee yanaweza kuwa yanatosha.
 
Tulipokuwa tunafanya procurement hatukuyaona haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…