Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,157
- 481
Haya bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.
Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.
Chanzo: ITV habari
My take: Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
MembeKwa kumlinganisha na nani?
Ianzie kwake, yeye atatosha?. .... Watia nia wasishughulikiwe ki Membe Membe ili apatikane aliye bora zaidi.Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.
Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.
Chanzo: ITV habari
My take: Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
Acha roho ya kutu. Ilani ya Ccm imetekelezwa vizuri kabis. Miundo mbinu imeimarishwa, hospital na vituo vya afya vimejengwa,rushwa na ubadhilifu umedhibitiwa na Elimu bure shule ya msingi mpaka form four, we unataka nini?Alete kwanza sera ya ccm 2015-2020 amefanya nini?
Acha uzushi na chuki za kisiasa. Chadema nyie ni mafisadi.Anaonekana anaogopa zaidi ushindani wa ndani ya chama kuliko wa nje, kazi anayo, hayo manunuzi mnayoendelea kuyafanya mpaka leo hayata waacha salama, lazima mvurugane tu.
Hata kama wengine mmewahamishia CUF na NCCR, kazi mnayo, mnakurupuka na mipango fake bila kufikiria outcome.
JPM amenena ukweli.Tayari hofu kuu imeikumba CCM kuelekea 2020. Kauli hii ya Mwenyekiti taifa CCM isichukuliwe kwa wepesi na kina johnthebaptist wafia chama ambao Mwenyekiti John Pombe Joseph Magufuli amewaita diehards
June 1, Dodoma
Tanzania
Source: millard ayo
We una akiki? Membe ni mwana CCM?Ianzie kwake, yeye atatosha?. .... Watia nia wasishughulikiwe ki Membe Membe ili apatikane aliye bora zaidi.
Wewe mwenye "akiki?" unioneshe nilipo sema kuwa ni mwana CCM.We una akiki? Membe ni mwana CCM?
Mim nataka 50mln za kila kijiji.Acha roho ya kutu. Ilani ya Ccm imetekelezwa vizuri kabis. Miundo mbinu imeimarishwa, hospital na vituo vya afya vimejengwa,rushwa na ubadhilifu umedhibitiwa na Elimu bure shule ya msingi mpaka form four, we unataka nini?
Jipime wesiunagombeaHili neno!.
P
Mwanaume kutongoza ufanikiwe sio lazima utoe pesa kila wakati, pesa inatumika zaidi km kilainishi, lakini hata mpangilio wa maneno yako pekee yanaweza kuwa yanatosha.Mkuu unataka kutuaminisha kua Lwakatale na silinde nao wamenunuliwa?
Narudia tena, kura za maoni ndani ya chama chenu hazita waacha salama.Acha uzushi na chuki za kisiasa. Chadema nyie ni mafisadi.
Mpaka 2030 magu forever.Kwani huyu mzee ana mpango wa kugombea tena jamani