Nanukuu tena... "Siku ina masaa 48"Haa haa. Something is very wrong in upstairs. Hata hajui kuwa barakoa hazivaliwi muda wote mpaka unapokuwa umelala au uko nyumbani. Anajifanya hajui kuwa barakoa ni pale unapokuwa kwenye msongamano wa watu wengi tu.
kukubali Nini?!!Tiyari ameanza kukubali taratibu, nilivyokuwa nasikia namna anavyozungumza Majaliwa kwenye Msiba wa Balozi kijazi nikajua kabisa anasafisha njia kwa Jiwe kukubali Corona ipo nchini na watu wanapaswa kuchukua taadhari
Mimi nashauri angehutubia Taifa moja kwa moja kuhusu hili suala linalogharimu maisha ya watu na siyo kujificha makanisani kutoa matamko ya chini kwa chini kwa Jambo serious kama hili
Kiongozi wa serikali kutoa kauli ya kiserikali kutoka kanisani ni violation of separation of church and state.Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno.
View attachment 1708018
View attachment 1708019
VIDEO:
Kati ya watu ambao nawapuuzi hapa JF namba moja ni weweAcha kutamani vifo vya wenzako. Ukoje wewe?
kwa hiyo umefurahi kuambiwa uvae barakoa.Bavicha mnashida za kisaikolojia.Mataga mupooo ...kweli UPINZANI ni muhimu sana huko BUNGENI
[emoji2423][emoji867]
Hadi kapungua uzito mzee wa watu, corona kweli inajua kunyoosha watuAmeyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno.
View attachment 1708018
View attachment 1708019
VIDEO:
wewe chunga kauli zako za kichochezi.Hakuna mtanzania aliyempuiza Wala kumzodoa mkuu wa nchi.akili za kibavicha hizi ni hasara kwa taifa.Ohooooo! Baada ya kuona Watanzania wamempuuza na wameanza kumzodoa hatimaye amelegea.
Kwenye corona ukijitoa ufahamu na kujitia una roho ngumu lazima unyooshwe.He is now coming to his sense.
Alikuwa anawasifia watu wasipovaa barakoa sasa akili inaanza kumrudia.
Alisema corona haipo sasa akili inamrudia kuwa huu msala upo na hauna utani.
Nimesikia sasa anakimbilia kwenye vita ya uchumi, eti hii ni vita ya uchumi, corona ni vita ya uchumi, uchumi gani?
🖕[emoji2423]
Mkuu machadema hayana akili! Sasa ngoja tuone yakivaa barakoaKwahiyo mmeridhika, hadi muambiwe mvae barakoa ndio mfurahi. Vaeni sasa baba yenu kasema
kweni ww huamini Mungu yupo!!??Hii paragraph imehitimisha nia ya serekali katika kupambana na janga la corona ni ipi.
Imagine social distancing pamoja na kuvaa barakoa vimepondwa na kuonekana kuwa havina maana na maombi yamewekewa msisitizo!View attachment 1708025
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo hii kauli tu ya kwamba vaeni barakoa ndio mlikuwa mnaipigania?Hapa ndipo nimejifunza kama watu ndani ya taifa hili tukiamua kusimama na kupigania haki zetu kwa pamoja hakika tungeshinda kila vita inayokuja mbele yetu.
Uoga ni dhambi, na dhambi huzaa mauti; tatizo letu tu waoga, wengine ni wavivu wa kusubiri mpaka wengine waanze, na wale wachache wasiojielewa wanaojipendekeza kwa watawala hata kama baadhi ya maamuzi ya hao watawala yanawaumiza mpaka wao.
Kwa hili niwapongeze viongozi wa dini kwa kuonesha njia na uthubutu, naamini sasa wameuona umuhimu wao katika kuongoza kondoo wao kwenye njia sahihi, na wajue pia, popote wanapochelewa kuchukua maamuzi sahihi, wanasababisha kuchelewesha ukombozi wa watanzania.
Sasa vina msaada gani?Hii paragraph imehitimisha nia ya serekali katika kupambana na janga la corona ni ipi.
Imagine social distancing pamoja na kuvaa barakoa vimepondwa na kuonekana kuwa havina maana na maombi yamewekewa msisitizo!View attachment 1708025
Mkuu kauli ya kiongozi ina mamlaka na ni rahisi watu kuitii, kiongozi sio sawa na wewe anapoongea.Kwahiyo mmeridhika, hadi muambiwe mvae barakoa ndio mfurahi. Vaeni sasa baba yenu kasema
Sasa unavaaje barakoa wakati naniiii..... haipo TZ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo hii kauli tu ya kwamba vaeni barakoa ndio mlikuwa mnaipigania?
Vituko haviishi duniani
Kwa taratibu naona kama Mh Rais afya yake sio njema sana. Kama amechoka sana, uzee wa ghafla na hata ngozi imechakaa
Magufuli ana ugomvi binafsi na mzee Barakoa. Inabidi wapatanishwe kama hawajaumizana.Hii paragraph imehitimisha nia ya serekali katika kupambana na janga la corona ni ipi.
Imagine social distancing pamoja na kuvaa barakoa vimepondwa na kuonekana kuwa havina maana na maombi yamewekewa msisitizo!View attachment 1708025