Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sisi tutaendelea kuomba.Huyo Mungu anaeacha watu wapukutike kwanza halafu aje baadae kwa wakati wake sahihi kuja kujibu maombi huyo ni mungu mnafiki na mzandiki!
Sihitaji uniombee kwa mungu mnafiki ambae huwa anaacha watu wapukutike kwanza halafu yeye anakuja kusaidia baadae!Simtaki Mungu wa namna hiyo!😬😬😬Sisi tutaendelea kuomba.
Wewe kama hutaki kuomba acha!sisi tutakuombea pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Frustration maana kila kitu hakiendi na Covid imeshika kasiMagufuli kachakaaa ghafla nini shida.?
Nitakuombea tu!hata kama hutaki.Sihitaji uniombee kwa mungu mnafiki ambae huwa anaacha watu wapukutike kwanza halafu yeye anakuja kusaidia baadae!Simtaki Mungu wa namna hiyo![emoji51][emoji51][emoji51]
Maombi yaendane na vitendo. Daudi asingeshinda vita kama asingeenda na silaha na imani.Nimekwambia Bwana asipoulinda mji waulindao wanakesha bure.
Ingekuwa kichukua hatua pekee kunatosha basi mataifa ya wenzetu wangekuwa wanaishinda Corona.
Kuchukua tahadhari pekee hakutoshi,ndiyo maana Rais anasisitiza maombi na Mungu ni mwaminifu atatenda tena.
Wewe endelea kubeza
SawaKuna kampeni ya kifamilia, wilaya, mkoa na kitaifa na kwa kila ngazi kuna kiongozi wake na huyo kiongozi anawajibu wake hata ngazi ya kimataifa kuna kiongozi wake akivurunda huko tutalalamika tu.
Usifanye mchezo kufiwa na mtu unaemtegemea, lazima uchakae kwa mudaKwa taratibu naona kama Mh Rais afya yake sio njema sana. Kama amechoka sana, uzee wa ghafla na hata ngozi imechakaa
Inahitaji imani sana kukubali kwamba Biological Diseases can be cured spiritually. Yaan Mapafu yameharibika kisha through praying by words of mouth, mention Jesus, Mention Muhammad (SAW) or Mention God then Mapafu yanajengeka bila kunywa dawa yoyote ile. Wanaoamini wacha waendelee kuamini tu.Watanzania wenzangu, naomba tutumie uzi huu kumtukuza Sana Mungu kwa kutuponya na kutulinda na corona. Tumponde na kumzomea Sana shetani na corona yake...
Tunaangamizwa kwa kukosa maarifa!Watanzania wenzangu, naomba tutumie uzi huu kumtukuza Sana Mungu kwa kutuponya na kutulinda na corona. Tumponde na kumzomea Sana shetani na corona yake...
Kama ni kweli hao wakubwa waliugua korona nadhani wakiwa kwenye critical point walilaumu sana ila kwa vile waliona hawaponi walisamehe ili waione mbingu.Hadi kapungua uzito mzee wa watu, corona kweli inajua kunyoosha watu
Ila huyu mzee ana roho ngumu kama shetani ?Kama ni kweli hao wakubwa waliugua korona nadhani wakiwa kwenye critical point walilaumu sana ila kwa vile waliona hawaponi walisamehe ili waione mbingu.
Tusiendelee tena na makosa haya maana lawama zitageuka laana.
Upo sahihi mkuu hiyo hata kwangu naiona kuwa ni ngumu sana .Inahitaji imani sana kukubali kwamba Biological Diseases can be cured spiritually. Yaan Mapafu yameharibika kisha through praying by words of mouth, mention Jesus, Mention Muhammad (SAW) or Mention God then Mapafu yanajengeka bila kunywa dawa yoyote ile. Wanaoamini wacha waendelee kuamini tu.
Washapewa kazi maalum hao na malaika wa bwanaJidanganyeni Italia ndio kuna ndio ya Roma na Ulaya yoote hausikii maujinga kama haya ya kumlilia mungu. Arabic countries hawataki kbs ujinga na huu ugonjwa kiasi cha kupunguza msongamano wa watu kwenda kuhiji. Nyie wenzangu na mie mnaosalie kwenye magofu ya pale Kawe mpo busy na kushabikia ujinga. Acha hili dude litutie adabu ndio tutajuana vyema. Eti maombi.
Mimi nashauri angehutubia Taifa moja kwa moja kuhusu hili suala linalogharimu maisha ya watu na siyo kujificha makanisani kutoa matamko ya chini kwa chini kwa Jambo serious kama hili
Upo sahihi mkuu hiyo hata kwangu naiona kuwa ni ngumu sana .
Kuna wakati unawaza sana. Mtu mzima anakuja na kudai eti chanjo haina maana kwanini wameshindwa kupata chanjo ya HIV ila kasahau wamepunguza makali kwa kuleta ARV. Anadai kwanini wameshindwa kuleta chanjo ya maralia kasahu alishapewa vyandarua. Sasa kama yeye anashindana na wazungu kwanini anashindwa kuhimiza maombi HIV na Camcer zipotee kama anavyohamini Corona itapotea kwa maombi. Nachukia sanaWashapewa kazi maalum hao na malaika wa bwana