Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

Huyo Mungu anaeacha watu wapukutike kwanza halafu aje baadae kwa wakati wake sahihi kuja kujibu maombi huyo ni mungu mnafiki na mzandiki!
Sisi tutaendelea kuomba.
Wewe kama hutaki kuomba acha!sisi tutakuombea pia.
 
Nimekwambia Bwana asipoulinda mji waulindao wanakesha bure.
Ingekuwa kichukua hatua pekee kunatosha basi mataifa ya wenzetu wangekuwa wanaishinda Corona.

Kuchukua tahadhari pekee hakutoshi,ndiyo maana Rais anasisitiza maombi na Mungu ni mwaminifu atatenda tena.

Wewe endelea kubeza
Maombi yaendane na vitendo. Daudi asingeshinda vita kama asingeenda na silaha na imani.
imani iwepo yes.. lakin na vitendo viendelee.
 
Kuna kampeni ya kifamilia, wilaya, mkoa na kitaifa na kwa kila ngazi kuna kiongozi wake na huyo kiongozi anawajibu wake hata ngazi ya kimataifa kuna kiongozi wake akivurunda huko tutalalamika tu.
Sawa
 
Watanzania wenzangu, naomba tutumie uzi huu kumtukuza Sana Mungu kwa kutuponya na kutulinda na corona. Tumponde na kumzomea Sana shetani na corona yake.

Maneno Kama: Corona kwa Tanzania inayomtegemea Mungu imekula wa chuya!

Tuwazomee mawakala wa Corona wanaotaka kuitumia corona Kama mtaji wa kisiasa!

Tutumie uzi huu kumwinua na kumtukuza Sana Mungu, maneno Kama: Mungu wetu ana nguvu kuliko korona!! Mungu
Wetu aliyetuponya na corona mwaka 2020 atatuponya pia 2021!

Kwa Mungu hakuna kisichowezekana, corona ni nini mbele ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi!! Tutumie uzi huu pia kumwombea na kumtia moyo Rais wetu Dr John Pombe Magufuli. Namshukuru Mungu kwa kutupa Magufuli mcha Mungu kuwa Rais wetu!!
Asante Sana Rais wetu kwa kutuongoza vema kwenye Vita hii dhidi ya Corona: You are very smart kwa kuipambanisha corona na Mungu!

Pamoja na Mungu ushindi ni hakika! Asante Rais wetu kwa kudharau vitisho vyao, usiwasikilize, Bwana wa mabwana atawanyamazisha!! Usiogope Vita Ni vya Bwana!

Tunakupenda Rais wetu! I can't imagine ingekuwaje tungekuwa na Rais mwoga kipindi hiki!! Au kama tungekuwa na Rais ambaye Ni kibaraka wa makaburu!

Mungu akulinde Rais wetu na akupe maisha marefu!

Pamoja na Bwana Tanzania tutavuka!
 
Watanzania wenzangu, naomba tutumie uzi huu kumtukuza Sana Mungu kwa kutuponya na kutulinda na corona. Tumponde na kumzomea Sana shetani na corona yake...
Inahitaji imani sana kukubali kwamba Biological Diseases can be cured spiritually. Yaan Mapafu yameharibika kisha through praying by words of mouth, mention Jesus, Mention Muhammad (SAW) or Mention God then Mapafu yanajengeka bila kunywa dawa yoyote ile. Wanaoamini wacha waendelee kuamini tu.
 
Jidanganyeni Italia ndio kuna ndio ya Roma na Ulaya yoote hausikii maujinga kama haya ya kumlilia mungu. Arabic countries hawataki kbs ujinga na huu ugonjwa kiasi cha kupunguza msongamano wa watu kwenda kuhiji. Nyie wenzangu na mie mnaosalie kwenye magofu ya pale Kawe mpo busy na kushabikia ujinga. Acha hili dude litutie adabu ndio tutajuana vyema. Eti maombi.
 
Kama ni kweli hao wakubwa waliugua korona nadhani wakiwa kwenye critical point walilaumu sana ila kwa vile waliona hawaponi walisamehe ili waione mbingu.
Tusiendelee tena na makosa haya maana lawama zitageuka laana.
Ila huyu mzee ana roho ngumu kama shetani ?
 
Inahitaji imani sana kukubali kwamba Biological Diseases can be cured spiritually. Yaan Mapafu yameharibika kisha through praying by words of mouth, mention Jesus, Mention Muhammad (SAW) or Mention God then Mapafu yanajengeka bila kunywa dawa yoyote ile. Wanaoamini wacha waendelee kuamini tu.
Upo sahihi mkuu hiyo hata kwangu naiona kuwa ni ngumu sana .
 
Jidanganyeni Italia ndio kuna ndio ya Roma na Ulaya yoote hausikii maujinga kama haya ya kumlilia mungu. Arabic countries hawataki kbs ujinga na huu ugonjwa kiasi cha kupunguza msongamano wa watu kwenda kuhiji. Nyie wenzangu na mie mnaosalie kwenye magofu ya pale Kawe mpo busy na kushabikia ujinga. Acha hili dude litutie adabu ndio tutajuana vyema. Eti maombi.
Washapewa kazi maalum hao na malaika wa bwana
 
Mimi nashauri angehutubia Taifa moja kwa moja kuhusu hili suala linalogharimu maisha ya watu na siyo kujificha makanisani kutoa matamko ya chini kwa chini kwa Jambo serious kama hili

☑✔✔✔✔
 
Washapewa kazi maalum hao na malaika wa bwana
Kuna wakati unawaza sana. Mtu mzima anakuja na kudai eti chanjo haina maana kwanini wameshindwa kupata chanjo ya HIV ila kasahau wamepunguza makali kwa kuleta ARV. Anadai kwanini wameshindwa kuleta chanjo ya maralia kasahu alishapewa vyandarua. Sasa kama yeye anashindana na wazungu kwanini anashindwa kuhimiza maombi HIV na Camcer zipotee kama anavyohamini Corona itapotea kwa maombi. Nachukia sana
 
Back
Top Bottom