Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kama Bwana asipoulinda mji waulindao wanafanya kazi bure mbona yanafanyika maombi mengi sana dhidi ya Corona ikiwa ni pamoja na kufanga ila bado watu wanapukutika?Kwani wapi amesema havina maana?
Mbona unataka kumlisha maneno???
Amesisitiza maombi kwa sababu Bwana asipoulinda mji waulindao wanafanya kazi bure!
Maombi ndiyo msingi wa yote..tukifanya hayo mengine yote tukasahau maombi itakuwa kazi bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi kufanya kitu ambacho hakina msaada?Matokeo ya maombi huwa yanapimwaje?Yaani nikitaka kujua mafanikio ya maombi katika kapambana na Corona napimaje?