Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Mkuu iyo profile vip yako vip?Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
😅😅😅😅😅,hapo mwisho dawa za kumtibu mamako au?Hahahaaaaaaa,JF bhana!Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Kwa nini unasikia raha!!??Najisikia amani na raha kubwa kuwa na Rais makini kama huyu,Mungu mbariki JPM
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Chadema wana mapepo by askofu Gwajima!Corona ukipona unaweza kuugua tena
Hivi Chadema Kwanini Wengi mpo hamjitambui?
Na wabunge wa Chadema wameamua kwenda kwao mbona mnawanyima poshoMkuu huo ndo ukweli, go east go west but home is the best.
Najisikia amani na raha kubwa kuwa na Rais makini kama huyu,Mungu mbariki JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ukipona unaweza kuugua tena
Hivi Chadema Kwanini Wengi mpo hamjitambui?
Chadema wana mapepo by askofu Gwajima!