Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

Labda Kwa taarifa alizonazo zinaonesha watu wa eneo hilo ndio wamekuwa obstacle Kwa Mambo mengi..kuwaogopa sidhani kwakuwa Ni Ngumu Sana Kwa Taasisi anayoingoza kuogopa mtu, kikundi /jamii ya watu au Taasisi yoyote ndani ya Jamuhuri hii.
Sasa kumbe n hvyo kama yy ndo amiri jesh mbona asijiamin tu yaishe [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba apumzike salama.

Siku hizi maabara hazitumiki tena..tunapigwa chanjo tu kama kuku.

Ingawa wanasema hiari,lkn wengine ni lazima.

Upumzike kwa amani baba.
 
Back
Top Bottom