Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Mama yake kaingiaje? Dahh jamani kuweni na breki Basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi nimekimbia sijui wapi!, tuache siasa za ajabu” -JPM

“Wengine wako DSM wanasema Watu wasiende Bungeni, na nimeagiza wasilipwe posho maana utalipwa kwa kazi uliyofanya, kuna mambo ya ajabu yanafanyika, sina imani na Mkuu wa Mabaara ya Taifa maana haiwezekani tupeleke sampuli za papai zioneshe zina corona” -JPM
#MillardAyoCORONATZ
#JPMChato
ukisikia rais kuchanganyikiwa ndiko huku!
 
Back
Top Bottom