Rais Magufuli: Wenzetu kule wanachakata picha ili waonekane wamejaza watu kwenye mikutano yao, waje waone kwetu

Heshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.

Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?

Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?
 
JPM anajaza nyomi mwanzo mwisho kila aendapo.masikini Lissu kuna mikoa hakupata watu mpaka huruma kwakweli.
 
Heshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.

Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?

Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?
magu haelewi tabia za wananchi anao waongoza,kwanza kajaribu kuleta ubaguzi wa kikabila na kikanda ili uwe rahisi kujiongezea muda Amefeli vibayakwenye hilo
 
Inaonyesha pumzi imemwishia kabisa.
Tumieni akili na siyo lazina muwe mmesona sana. CCM inapiga kampeni kila kona ya nchi nyinyi kazi uenu ni umbea na ulalamishi.Sasa nasika wengine hawapigi kampeni bali wanapanga baraza la mawaziri.Hivi mna akili kweli nyie ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…