Rais Magufuli: Wenzetu kule wanachakata picha ili waonekane wamejaza watu kwenye mikutano yao, waje waone kwetu

Rais Magufuli: Wenzetu kule wanachakata picha ili waonekane wamejaza watu kwenye mikutano yao, waje waone kwetu

Daaaah mzee kids atubu madhambi yake bado anaendelea kuwasikiliza Matanga na Pole pole kuwa upinzani unachakata picha

Inabidi aweke urais pembeni aingie field haone ukweli asingoje kuambiwa Kila kitu.

Hatakaa aamini hao Matanga watakavyo msema baada ya kufeli October.

Haki uinua TAIFA
 
Heshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.

Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?

Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?
Si kweli acheni upotoshaji jamani mbona Vyama vinginr vinarusha matangazo??....Si wao waliwafukuza TBC
 
Kwaiyo na zile video zinazoonesha lissu akitoa speech akiwa jukwaani huku maelfu ya watu wakimshangilia nazo zimefojiwa?
Kwa mujibu wa taarifa za wasaidizi wake Jpm zile ni edited pictures. Sasa nashangaa kwanini halali yuko kwenye kampeni tangu saa 12asubuhi. Hadi ana pigishwa magoti na wasanii walio soma Kkk
 
Back
Top Bottom