Rais Magufuli: Wenzetu kule wanachakata picha ili waonekane wamejaza watu kwenye mikutano yao, waje waone kwetu

CCM haiwezi kuwa na jipya tena la kuwakwamua wananchi wa Tanzania, ni vile tu kundi kubwa hasa vijana bado liko gizani!
 
Heshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.

Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?

Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?
Jana madogo wa Tabora Boyz walikatishwa vipindi waende kwenye mkutano .

Huwa simwelewi huyu mtu sijui huwa anawaza waza vipi[emoji44]
 
Heshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.

Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?

Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?
Anajisifia hivyo labda Tabora hawakubebwa na malori.
 
Heshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.

Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?

Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?

Something is soooooo wrong with him. Sijui ilikuwaje tukaangukia hapa. Kikwete kwa hapa hatukusamehi milele.
 
Tukiwa tunaelekea uwanja wa Ali Hassan mwinyi Tabora.
IMG_20200908_175425.jpg
IMG_20200908_175048.jpg
 
Back
Top Bottom