britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
- #81
Midahalo wengi wanaikwepa nashangaaUkishaona kiongozi anakimbia mdahalo ujue hapo hamna kiongozi bali kuna mtawala. Tuko umemjua huyu rais umewahi kumuona akishiriki mdahalo wa aina yoyote? Kama mtu anakwepa mdahalo ambapo ndio unaweza kupima uwezo wa mtu na busara yake, hapo unatarajia kupata kiongozi mzuri?
Unashangaa mtu anataka kazi lakini hataki usaili (interview), bali anataka apite anahubiri tu. Mtu wa hivyo akiingia madarakani anatekeleza agenda zinazo mpendeza yeye tu. Ndio maana unasikia anaongea kwa jeuri kwamba hajaahidi katiba mpya, kana kwamba nchi ni yeye na sio mahitaji ya wananchi.
Hasa hao wasiopenda kukosolewa