britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #81
Midahalo wengi wanaikwepa nashangaaUkishaona kiongozi anakimbia mdahalo ujue hapo hamna kiongozi bali kuna mtawala. Tuko umemjua huyu rais umewahi kumuona akishiriki mdahalo wa aina yoyote? Kama mtu anakwepa mdahalo ambapo ndio unaweza kupima uwezo wa mtu na busara yake, hapo unatarajia kupata kiongozi mzuri?
Unashangaa mtu anataka kazi lakini hataki usaili (interview), bali anataka apite anahubiri tu. Mtu wa hivyo akiingia madarakani anatekeleza agenda zinazo mpendeza yeye tu. Ndio maana unasikia anaongea kwa jeuri kwamba hajaahidi katiba mpya, kana kwamba nchi ni yeye na sio mahitaji ya wananchi.
Siku Magufuli atakapotambua kuwa anaowaongoza ni watu atabadilika na kuwa kiongozi.kwanza inahitajika mapinduzi ya fikra zake aweze kutambua wengine kama wenye mawazo chanya pia, aelewe kwamba huwezi kuendesha taasisi kubwa bila mchango wa mawazo ya wengine sembuse nchi ambayo ina taasisi kibao
hizi ungeziweka kwenye point form zingesomwa na wengi na kueleweka kwa urahisi si wote wanaweza kusoma hiki kizuri ulichokubali kulisha ubongo wetu.tunaamini ataweza kama ataacha kaupendeleo fulani wanakomtuhumu nako kwenye teuzi , tunamaamini ataweza kama atakubali kuwaheshimu waliomtangulia na kuuthamini mchango wao kwenye Taifa hili, Tunaamini atafanikiwa kama ataruhusu mawazo mbadala ya wapinzani wake nayo akayapinga kwa hoja si kwa mtutu au vyombo vya dola, tunaamini Mzee wetu ataweza kama ataamua kukubali kwamba si kila kitu yeye yuko sahihi, Tunaamini ataweza kama ataacha Double standard kwenye kuwawajibisha baadhi ya watendaji aliowateua, Tunaamini ataweza kama ataweza kuwakemea hata wale wanaojipendekeza kwake kuanzisha mambo kwenye jimbo lake bila kufuata utaratibu na mipango miji kama vile jinsi ya kuanzisha internationala airport , Mbuga na sehem za hifadhi za Taifa, Tunaamini ataweza kama atazitambua sekta binafsi bila kuwakomoa wawekezaji kutoka moyoni siyo mdomoni
Midahalo wengi wanaikwepa nashangaa
kama hutajali kiedit wengi wamesoma academia hawawezi kusoma paragraph ndefuMkuu.kweli
Siioni 'signature' ya Britannica katika andishi hili, bila shaka kakodisha jina.Jamani naishia hapa siku hizi mi mzembe kuandika,
Nimekuelewa sana mkuu! Watz ni wavivu mno, wao wanamtegemea selikali ije iwaambie njoo hapa ufanye hiki.
Acha kudanganya hakuna kituHujatwambia alivyovisimamia vinasaidieje nchi ? Ebu rudia tena nini kafanya toka kaingia madarakani?
Tanzania nzima wameoza labda tukodi kwa kagameUnamtaka Makongoro?
Bongo za watu wa CCM zimechoka kuongoza hii nchi, wanachowaza ni kula tu. Na ndiyo maana kina Bashite wanaikimbiza nchi wanavyotaka.
Tunahitaji mapinduzi ya jumla akili za CCM zipumzike ziingie fikra mpya.
CHAMA CHAKO CHA CCM NI KANSA INAYOITAFUNA TANZANIA.
Hasa usukuma umetawala sanaUbaguzi, ukabila, ukanda, uteuzi mbovu, vaunting, arrogance, and extravagance shall end when the man is gone.
I real appreciate BritanicaGreat thinker [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Na huu ndio ukweli, na viongozi wanaopenda kusifiwa wanapenda sana ujinga huo.Siku hizi viongozi wetu wanatuongezea uvivu maradufu kwani wanatuaminisha kuwa wao ndio wanatuletea maendeleo! Ile spirit ya watu kuwekewa mazingira ili kujiletea maendeleo wenyewe kwa kushirikiana na mamlaka za serikali za Mitaa za maeneo yao is fast dying.
Makampuni zaid ya 200 yamefungaHii ni laana ya JK kwa matusi tuliyomtukana kila siku!
Kuna shemeji yangu alikuwa na maduka 2 ya nguo Kariakoo yote kafunga, juzi nilikutana na fundi mmoja hivi yeye shughuli zake huwa ni kupaua na kujenga alikuwa nazunguka tu na kibaiskeli chake na hajui anaenda wapi akaniambia hapa nilipo nina mwezi 1 sijafanya kazi yeyote na sijui leo nyumbani itakuwaje na ana mke na watoto 2.
Kuna jirani yangu mwingine alikuwa na duka la rejereja hapo Tababta juzi kati kafunga yuko nyumbani.
Uchumi huu wa Magufuli unatukomaza akili, atakae savaivu kweny uchumi wa aina hii ndio atakuwa mtu wa kuishi maisha mazuri sana huko mbele.
Uchumi wetu kama nchi hauna misingi Imara ya kuhimili vishindo,.
Miradi Mingi kaiuaAmezindua miradi ya watangulizi wake.
Hotuba iliyowalagai wadanganyikandiyo ila lilipata umaarufu huko bungeni na akina mkapa wakitikisa vichwa
Kwani hujui Kisongo Lema kapelekwa baada ya kuota ndotoKwamba Magufuli ndiye aliyemfunga Lema?.nimeishia hapo kwenye nakala yako nikaona Ni ushubwada tu Kuendelea nayo
Sasa kwani kapelekwa na Magufuli au kapelekwa na mahakamaKwani hujui Kisongo Lema kapelekwa baada ya kuota ndoto
Mkimaliza kujisaidia muwe mnachamba kwa maji maana makaratasi yanasababisha mabaki yanayoathiri ubongoHuwez ukamjaji rais huyu aliyekaa madarakani miaka minne na wale waliokaa miaka 10, Huwezi. Ndani ya miaka minne watoto wamasoma kwa elimu bure toka primary mpaka kidato cha nne. Asilimia kubwa ya wenye sifa hupata mikopo elimu ya juu. Nidhamu serikalini imerejea... yale mambo ya unanijua mimi nani hayapo.
Sijajua kuhusu uelewa wako na elimu yako, achilia mbali capacity yako ya kufikiri. Kuondoa umasikini kwenye nchi ambayo unoko wa diamond na wema ndio priority kuliko kutafuta pesa ni ngumu bro. Ni ngumu, ni ngumu sana. Asilimia kubwa ya watanzania hawafanyi kazi, wapo kwenye vijiwe vya kahawa, wapo kwa ndugu zao wanasubir ugali wa kengele. Siku hizi mtu anamiliki simu ya laki mbili aingie insta na hajawahi kufuga kuku wanaozwa 5000,
Nchi hii ni masikini na kuondoa umasikini ni suala mtambuka, hapa ndipo viongozi wanapopishana wapi pa kuanzia...
Mchukue lowasa awe rais, mbowe waziri mkuu na zitto kabwe waziri wa fedha muone kama baada ya miaka minne mtakua matajiri...