Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

Roho ya kiongozi huwaingia watu wake. Kikwete alikuwa na roho ya kupenda starehe, Watanzania tukala sana bata.
Magufűli ana roho ya umasikini, umasikini umetamalaki nchi nzima
Bora Kikwete aisew
 
Alafu mtu wa Kilimilile akibati anashangilia
 
Siku Magufuli atakapotambua kuwa anaowaongoza ni watu atabadilika na kuwa kiongozi.

Sasa hivi sina hakika sana kama anaamini kuwa anaowaongoza nao ni watu.
Eeenh, nawengine anawaita "Wapumbavu"! Inalazimu nikubaliane na wazo lako hili.

Nisiloelewa ni jinsi gani vikao vyao vya "Baraza la Mawaziri" vinavyoendeshwa. Inanishawishi kuamini kwamba Mawaziri wote ni wasikilizaji tu, au wanapotakiwa ni wa kujibu maswali tu, na sio wa kuhoji au kutoa mjadala ambao unaweza kuwa na mawazo tofauti na aliyonayo Mwenyekiti wa Baraza hilo.

Hatuwezi kujua huko kukoje, kutokana na usiri waliolishana kuhusu mambo yao yanayotuhusu sisi raia.
 
Kiongozi anayefikia hatua ya kuwaambia wasaidizi wake pumbavu na kusema hadharani kuwa huwa anawambia pumbavu lazima ujiulize sana juu ya utu wake
Eeenh, nawengine anawaita "Wapumbavu"! Inalazimu nikubaliane na wazo lako hili.
 
We ulitaka afanyaje kama misingi haikuwapo apandishe mishahara huku mingi ikienda kwa hewa?

Eti kaleta ukanda hivi hata wewe na akili zako utajenga kwa wakwe zako au kwako?


tumpe muda zaid kazi ya kujenga na kuripea msingi ni kazi ngumu na inayohitaji waledi na subira pia huko mbeleni itakua ni kuteleza tu
 
Kwanini naww usiongelee hayo unayodhani ni mazuri
 
2020 wa NEC chamani tunamsubiri na vichinjio vyetu mkuu.
CC wakirogwa kuleta jina lake tu, siye tutalikata hakuna namna!
 
OK lakini mimi nitampa kura tena MAGUFULI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…