Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

Kwamba Magufuli ndiye aliyemfunga Lema?.nimeishia hapo kwenye nakala yako nikaona Ni ushubwada tu Kuendelea nayo
Uko kama mimi, sijataka kiuendelea nimebaki kusoma comments za wapiga dili tu
 
Roho ya kiongozi huwaingia watu wake. Kikwete alikuwa na roho ya kupenda starehe, Watanzania tukala sana bata.
Magufűli ana roho ya umasikini, umasikini umetamalaki nchi nzima

Magufuli anaroho ya utajiri ndiyo maana anatutaka Watanzania kutumia uwezo wetu, kutatua matatizo yetu, na huu ni ugonjwa wa bara zima la Afrika, hatutaki kufanya kazi, kiongozi anayehimiza watu kufanya kazi anaitwa ana roho ya umasikini ni mambo ya ajabu Sana. Kazi ndiyo njia pekee ya kutupa utajiri, utajiri unataka watu wafanye kazi kwa juhudi na maarifa.
 
Huwez ukamjaji rais huyu aliyekaa madarakani miaka minne na wale waliokaa miaka 10, Huwezi. Ndani ya miaka minne watoto wamasoma kwa elimu bure toka primary mpaka kidato cha nne. Asilimia kubwa ya wenye sifa hupata mikopo elimu ya juu. Nidhamu serikalini imerejea+... yale mambo ya unanijua mimi nani hayapo.

Sijajua kuhusu uelewa wako na elimu yako, achilia mbali capacity yako ya kufikiri. Kuondoa umasikini kwenye nchi ambayo unoko wa diamond na wema ndio priority kuliko kutafuta pesa ni ngumu bro. Ni ngumu, ni ngu!mu sana. Asilimia kubwa ya watanzania hawafanyi kazi, wapo kwenye vijiwe vya kahawa, wapo kwa ndugu zao wanasubir ugali wa kengele. Siku hizi mtu anamiliki simu ya laki mbili aingie insta na hajawahi kufuga kuku wanaozwa 5000,

Nchi hii ni masikini na kuondoa umasikini ni suala mtambuka, hapa ndipo viongozi wanapopishana wapi pa kuanzia...

Mchukue lowasa awe rais, mbowe waziri mkuu na zitto kabwe waziri wa fedha muone kama baada ya miaka minne mtakua matajiri... nani kase,a hakuna nenonhumijui mm vipi rushwa za matrafic...... Kuwahi kushamnulia mtu kwa eleimu na kiwango cha kufikiri
[/QUOTE]
Aisee kwako wewe kiwango cha elimu ni kutofautiana misimamo bila kujali alichosema mtu...mfano mm sijasoma ila naona kama namwelewa ... mfano mtu akisema kuwa na wewe kiwango chako cha elimu anawasiwaasi nacho kwa jinsi unavyojenga hoja unampima rais kwa hoja za kuwa watoto wanasoma BURE nikweki watoto wanasoma bure..... hatulipi kodi au hatutoi michango .... kwahili tu ninawasi kama watoto unaowalipia michango..... MOJA YA KUTOKUELIMIKA NIMKUTOKUHESHIMU hoja za kila mtu... na jamii iliyostarabika na iliyoelimika inaruhusu mitazamo tofauti
 
Hili nalikubali ila asihadae watu eti wananchi maskini wanyonge huku nikutiana vilema akilini hii sifa ya unyonge tuliipataje
 
Unamzungumzia Lenatus Mkinga mchumia tumbo ?
 
Nani ambaye hafanyi kazi unamlisha yeye na familia yake au serikali inawalisha watu gani wasiofanya kazi .?
 
Kiukweli mkuu umeshusha facts proof beyond doubt ,Jiwe nchi imemshinda hata afanye nini hawezi kufanikiwa ,kwanza personality yake ,moja ni mkali sana ,pili hataki ushauri tatu mjuaji sana kla kitu anajua utafikiri alisomea fani zote ,Sasa wewe kwa hizi sifa unafikiri kuna kupiga hatua ?Mengine ni tabia ya visasi ,chuki ,dhuluma na roho mbaya na ubinafsi wewe unajijali wewe tu wengine siyo watu .Mengine ni laana mtu ambaye anadhulumu na kuchukua urais ilihali hukushinda huwezi fanikiwa maana mbingu zinakuwa hazijakukubali.Lingine ni laana ya uonezi unawavunjia watu nyumba ,eti wamevunja sheria ,unawafukuza watu kazi eti vyeti feki ,hawa wana wake ,waume ,watoto wanaowategemea ,sasa wewe ukisema unawafukuza lazima upime madhara yake kama una busara ,siyo tu kwa kuwa umekuwa rais ndio unafanya unavyotaka .Unataka kuniambia hizo nyumba alizozivunja marais waliopita hawakuziona ?Hao vyeti feki marais waliopita hawakuwaona ,Uongozi ni kutumia akili ,hekima na busara .Kwa laana hizo alizojitafutia hata afanyaje hafanikiwi kuiletea nchi maendeleo maana roho nyingi zina mlilia .
 
Yaan mkuu
Mazuzu bado wapo nakwambia
 
Acha kumsingizia rais wetu. Roho yake ya utajiri haiizidi ile ingine aliyonayo ya ukabila, ubaguzi, ukanda, udini, upendeleo na nepotism
 
Atapata tabu sana arejee kule kaskazini aliowatenga nyerere alishindwa akaamua kusema nanyi msome kakini hakujua hii ninzaidi ya kusoma vya darasani
 
Roho gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…