Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

Atapata tabu sana arejee kule kaskazini aliowatenga nyerere alishindwa akaamua kusema nanyi msome kakini hakujua hii ninzaidi ya kusoma vya darasani
Mkuu mtizamo wako ndo umekuwa mbaya zaid
 
Acha ushabiki. Magufuli kawatia hasara kubwa wakulima wa korosho.
Magufuli kafanya biashara zimekuwa ngumu, wengi wanafunga biashara zao.
Kiwango cha umasikini kimeongezeka sana.
Magufuli alidanganya kuwa uchumi unakuwa kwa 7.7% kumbe kasi ya ukuaji wa uchumi ni 4%.
Uwe unafuatilia majarida mbalimbali ya uchumi na ripoti zinazotolewa mara kwa mara kwenye tovuti ya IMF
 
you can talk shit when your belly is full,can't you?
I tried to tell you guys the truth that to build the country it's not an overnight process. Mipango ya mda mrefu haikwepeki, unapojenga SGR, STIGLERS GORGE, miradi hii haiwez kuleta maendeleo ndani ya miaka 2 faida yake ni ya mda mrefu.

Mwekezaji gani atakuja kuinvest while miundombinu ni mbovu? Cost za production zitakua kubwa... leo hii kusafirisha nondo toka dar hadi mbeya sababu gharama za usafir pia ni kubwa. Unapojenga reli ya kisasa, treni inabeba vitu ving kwa mkupuo so gharama zinashuka...

Kama mnaona serikali inakosea vipaumbele, leten mawazo hapa tujadili kwa hoja. Mnakimbilia personal attacks. Mtu yoyote mwenye akili anajadili hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…