Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...
Huko mnakoelekea mtasema hata Makamba anafaa kuwa Makamu wa Rais!
akiwa makamu wa rais mimi nitahamia KONGOhahah Mkuu unaweza kuniambia kwa nini ASIWE makamu wa Rais? Yeye si katibu mkuu wa CCM?-chama kinachotawala na kilichoshinda uchaguzi kwa asilimia 80%?
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...
mUUNGWANA AMEFANYA MAAMUZI MAGUMU NA MAZITO KULIKO MARAIS WOTE WALIOMTANGULIA
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...
- Mama Super K, my best friend hana mpango wa kugombea urais 2010, inafika mahali inaonekana JF bila Mama Super K, haiwezi ku-function ni lazima kila kukicha tutafute something on Mama Super K, I mean tufike mahali tukubali tu kwamba we love this lady either kama kiongozi au as a person, haiwezekani ikawa kila siku Super K tu hapa JF.
- By the way, kila Mtanzania anayetimiza masharti ya sheria za jamhuri za kugombea urais, anaruhusiwa yaliyokwisha tukuta Tanzania na urais ni simply and very clear kwamba wananchi we have no clue na sifa za urais, tunajua kulia baada ya Rais kuchaguliwa lakini history iko wazi kwamba kwenye hili la Rais mwenye uwezo, limetushinda, sasa tusionee kina mama kama Super K bila sababu za msingi, kama maneno hayachagui Rais basi Kikwete asingekwua Rais, wala kina Obama wasingechaguliwa, kwani Kikwete kabla ya kuwa Rais aliwahi kulifanyia nini taifa? Au hao kina Obama?
- Walichokiweza ni kuongea sana kwenye kampeni ndio maana wakaishia kushinda, huwezi shinda urais kama huwezi kuongea, vipi wakuu mbona huwa mnashusha standards na kuruhusu hatred kuwatawala badala ya hoja? Ebo wewe unaweza vipi kuwa Rais au mwanasiasa bila kuongea sana?
- I mean siwezi kumshauri Mama Super K, kugombea 2010, lakini huko mbele ana kila sababu ya kusimama! Kwa sasa anahitaji some more works ili aweze kuja kuya-back up na maneno! that is simply smart politics za kisasa!
Respect.
FMEs!
........!dah!πππ
nimekubali mkuu wangu!sina pingamizi juu ya hilo.jf ina MAMLUKI WA KUTOSHA- Kubali mkuu maana kila kukicha JF ni Mama Super K, vipi Tanzania haina viongozi wengine zaidi tu ya huyu mbunge mmoja tu?
Respect.
FMEs!
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...
nimekubali mkuu wangu!sina pingamizi juu ya hilo.jf ina MAMLUKI WA KUTOSHA
ndivyo ilivyo,ingawa kila mmoja hapo anaongoza kwa staili yake.i mean the way wachangiaji wanavyom-perceive!.....- Do you have a choice zaidi ya kukubali mkuu si ukweli unajisema wenyewe, nani anaongoza kwa thread humu JF, kama sio Mama kilango, Kikwete, na Zitto, au?
Respect.
FMEs!