Rais Malecela - 2010?

Rais Malecela - 2010?

Jamani vituko vingine vinachekesha kweli, ajipe matumaini tu eeeeeh

Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...
 
Huko mnakoelekea mtasema hata Makamba anafaa kuwa Makamu wa Rais!

hahah Mkuu unaweza kuniambia kwa nini ASIWE makamu wa Rais? Yeye si katibu mkuu wa CCM?-chama kinachotawala na kilichoshinda uchaguzi kwa asilimia 80%?
 
akiwa makamu wa rais mimi nitahamia KONGO
 
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...

Mi sijaona umuhimu wa hii thread kwanza inavyoonekana haya ni mawazo yako binafsi kwa jinsi unavyomkubali huyu mama, cha pili ni title ya hii thread ati Rais Malecele - 2010? How come usiseme Ane K. Melecela Rais 2010??? Huu ni uandishi wa kidaku na naomba hata hii thread ikiwezekana Mods waipeleke kule kunakostahili!
 
jamani huyu mama si alikuwa akiuza genge? sasa Urais atauweza vp wakati hata wilaya hajawahi endesha! Ubunge jamani sii sawa na governing! Ubunge ni role ya representativeness and law making! msichanganye mambo jamani!
 
Boooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!1
Huyo Mama hatufai kabsaaaa.
Anawajua mafisadi anabak kubweka tu...an ujasiri kidogo lakin
 
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...

Taking nothing away from Anne Malecela but hii imekaa kishabiki zaidi. Au ndiyo kupima maoni ya watu kiujanja janja?
 
Kwani kuwa rais tanzania unahitaji uwe na know how au know who???

Sioni chochote special kwa muungwana, naamini hata Masanilo anaweza kuwa prezdaa wa nchi yetu hii!!!
 
huyu mama inawezekana hana sifa ya kuwa Rais lakini ana uwezo wa kusimamia aaminiyo. Mfano,yeye ni mbunge pekee wa CCM aliyekataa yule kijana Zitto kusimamishwa ubunge. Aliondoka ukumbi wa Bunge na kusema sitaki kushiriki uonevu huu. Nasikia hata aligombana na mumewe katika suala hili. wanaojiita wapiganaji wote waliufyata na kushiriki unyama ule.

Anaweza asiwe na sifa ya kuwa Rais lakini ana misimamo. Misimamo ni muhimu sana katika siasa na uongozi.
 
tumcharge anne kilango na kikwete. nani anaweza hata task ndogo ya kuwakemea mafisadi? Je kikwete anaweza?
 
- Mama Super K, my best friend hana mpango wa kugombea urais 2010, inafika mahali inaonekana JF bila Mama Super K, haiwezi ku-function ni lazima kila kukicha tutafute something on Mama Super K, I mean tufike mahali tukubali tu kwamba we love this lady either kama kiongozi au as a person, haiwezekani ikawa kila siku Super K tu hapa JF.

- By the way, kila Mtanzania anayetimiza masharti ya sheria za jamhuri za kugombea urais, anaruhusiwa yaliyokwisha tukuta Tanzania na urais ni simply and very clear kwamba wananchi we have no clue na sifa za urais, tunajua kulia baada ya Rais kuchaguliwa lakini history iko wazi kwamba kwenye hili la Rais mwenye uwezo, limetushinda, sasa tusionee kina mama kama Super K bila sababu za msingi, kama maneno hayachagui Rais basi Kikwete asingekwua Rais, wala kina Obama wasingechaguliwa, kwani Kikwete kabla ya kuwa Rais aliwahi kulifanyia nini taifa? Au hao kina Obama?

- Walichokiweza ni kuongea sana kwenye kampeni ndio maana wakaishia kushinda, huwezi shinda urais kama huwezi kuongea, vipi wakuu mbona huwa mnashusha standards na kuruhusu hatred kuwatawala badala ya hoja? Ebo wewe unaweza vipi kuwa Rais au mwanasiasa bila kuongea sana?

- I mean siwezi kumshauri Mama Super K, kugombea 2010, lakini huko mbele ana kila sababu ya kusimama! Kwa sasa anahitaji some more works ili aweze kuja kuya-back up na maneno! that is simply smart politics za kisasa!

Respect.

FMEs!
 
........!dah!😀😀😀
 
- Kubali mkuu maana kila kukicha JF ni Mama Super K, vipi Tanzania haina viongozi wengine zaidi tu ya huyu mbunge mmoja tu?

Respect.

FMEs!
nimekubali mkuu wangu!sina pingamizi juu ya hilo.jf ina MAMLUKI WA KUTOSHA
 
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...

siku hiyo Jeethu patel atasherehekea sana!
 
nimekubali mkuu wangu!sina pingamizi juu ya hilo.jf ina MAMLUKI WA KUTOSHA

- Do you have a choice zaidi ya kukubali mkuu si ukweli unajisema wenyewe, nani anaongoza kwa thread humu JF, kama sio Mama kilango, Kikwete, na Zitto, au?

ndivyo ilivyo,ingawa kila mmoja hapo anaongoza kwa staili yake.i mean the way wachangiaji wanavyom-perceive!.....
 
hahahahahahah hehehehehehe
Anne kilango for presidency??
Wacha nikaangue embe miye
 
Back
Top Bottom