- Mama Super K, my best friend hana mpango wa kugombea urais 2010, inafika mahali inaonekana JF bila Mama Super K, haiwezi ku-function ni lazima kila kukicha tutafute something on Mama Super K, I mean tufike mahali tukubali tu kwamba we love this lady either kama kiongozi au as a person, haiwezekani ikawa kila siku Super K tu hapa JF.
- By the way, kila Mtanzania anayetimiza masharti ya sheria za jamhuri za kugombea urais, anaruhusiwa yaliyokwisha tukuta Tanzania na urais ni simply and very clear kwamba wananchi we have no clue na sifa za urais, tunajua kulia baada ya Rais kuchaguliwa lakini history iko wazi kwamba kwenye hili la Rais mwenye uwezo, limetushinda, sasa tusionee kina mama kama Super K bila sababu za msingi, kama maneno hayachagui Rais basi Kikwete asingekwua Rais, wala kina Obama wasingechaguliwa, kwani Kikwete kabla ya kuwa Rais aliwahi kulifanyia nini taifa? Au hao kina Obama?
- Walichokiweza ni kuongea sana kwenye kampeni ndio maana wakaishia kushinda, huwezi shinda urais kama huwezi kuongea, vipi wakuu mbona huwa mnashusha standards na kuruhusu hatred kuwatawala badala ya hoja? Ebo wewe unaweza vipi kuwa Rais au mwanasiasa bila kuongea sana?
- I mean siwezi kumshauri Mama Super K, kugombea 2010, lakini huko mbele ana kila sababu ya kusimama! Kwa sasa anahitaji some more works ili aweze kuja kuya-back up na maneno! that is simply smart politics za kisasa!
Respect.
FMEs!