Rais, Mama Samia ni kweli tuna utaalamu na wataalamu wa kisayansi kujiridhisha kama chanjo za corona zinafaa au hazifai?

Umeongea kweli tupu! Ni clinical trial, basi mengine ni siasa! tena siasa za kishenzi...
 
Braza nadhani hiyo ni ile ya nipe jibu nitafakari kumbe hutaki kuonekana umekubali haraka. Inawezekana vigezo vya kwenda Ulaya vikawa chanjo ni lazima kama vile ile ya manjano. Hivyo wataalam lazima waje na jibu la ndio
 
means hata wahadhiri wa Universities zetu wako kwenye mkumbo huo ie 60% ni incompetent..............kama ni hivyo ni disaster. Hao ndio wajue kama chanjo inafaa au haifai? Never!
60% Ni kwa ujumla. Kiidara kuna asilimia zake.
Inawezekana vyuo wakawa juu au chini ya hiyo
 
Braza nadhani hiyo ni ile ya nipe jibu nitafakari kumbe hutaki kuonekana umekubali haraka. Inawezekana vigezo vya kwenda Ulaya vikawa chanjo ni lazima kama vile ile ya manjano. Hivyo wataalam lazima waje na jibu la ndio
umenena haswa! na ndicho wanachokifnya wana siasa! Nimetafakari sana eti tutajiridhisha, How? where do you start?
 
Kama jamaa wanashinda kwenye panya pale SUA badala ya kuhangaikia chanjo ya kwetu wenyewe unategemea nini?
Kama wanasiasa wanakwenda kukutana na akina Bill Gates halafu wanakuja kuishauri serikali inunue chanjo unategemea tutatoboa mwanangu!!!?
 
means hata wahadhiri wa Universities zetu wako kwenye mkumbo huo ie 60% ni incompetent..............kama ni hivyo ni disaster. Hao ndio wajue kama chanjo inafaa au haifai? Never!
Ni disaster kweli kweli,

Wahadhiri wenyewe kina Dr.Bashiru na kina Palamagamba mzee wa jalalani
 
Kwani Corona yenyewe hata ipo basi, njaa tu za madalali hizi.., 😂😂
 
Clinical trial ndo njia pekee ya ku-prove any medical substance efficacy and safety, tofauti na hapa hii kamati itatuingiza chaka tu when it comes to vaccine ..labda waje na solution nyingine tofauti na vaccine or any medical substance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…