- Thread starter
- #21
Umeongea kweli tupu! Ni clinical trial, basi mengine ni siasa! tena siasa za kishenzi.....njia pekee ya kujiridhisha Kama chanjo inafaa ni kufanya clinical trial...Kwa kuwapa watu chanjo na kuangalia matokeo yake...Jambo ambalo tz hawajafanya...huwezi kujua ufanisi wa chanjo Kwa maneno ...tz siasa za kishenzi zitazidi kutuponza..Huku watu wakifa...na sasa mashehe wanajipanga kwenda macca hijja....na wao ndio wapinga chanjo wakubwa..tuone Kama hawatachanjwa....mana bila chanjo hamna safari ya hijja...