Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Tena angekupiga vyuma vya kutosha utoboke kama netimaisha yanaenda speed sana mwezi uliopita ungemwambia magu yanayotokea asingekaa aamini.
Ameshapatika mjomba wa Taifa pale Magogoni kwa hiyo anatakiwa kuwa nyumbani kwake na si Ikulu.Kwani ameshtoka ikulu au nyumbani kwake wapi Tena?
UfafanuziNyumbani kwake wapi tena mke wa raisi si anaishi ikulu?Ametolewa lini hapo ikulu?
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Mbona Rais wetu hajavaa barakoa.
Mimi pia najiuliza, natamani achukue tafadhari.Mbona Rais wetu hajavaa barakoa.
Mh Aboubakar KunengeHivi mkuu wa Mkoa wa Dares lama anaitwa nani?