Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Mama Mcha Mungu. Mama mwenye hofu ya Mungu. Mama mwana maombi wa kupigiwa mfano. Nguvu zako ziendelee katika kumtumania Bwana Yesu na kutulia kwake. Bwana Yesu ni Mume wa wajane na Baba wa yatima hatakupungukia kitu chechote ukimtegemea.

Endelea kupumzika kwa Amani ipitayo amani zote Amani ile ya Bwana Yesu mpendwa na rafiki JPM.
 
Mama amepungua sana!! lah maisha haya jamani nyie??
 
Kuna baadh wa watu akir zao ni finyu mnafulahi mtu kufarik amjui kama kila nafs itaonja mauti kifo ni ibada tunajua kifo kimegusa wanyonge watu wenye mipango yenu nd mnafulahia
Magu alisema kufa ni kufa tu!
 
Mungu awape faraja kwenye kipindi hiki kigumu acheni nyie kama hujawahi kufiwa na mtu wa karibu huwezi kujua uchungu wake
 
Back
Top Bottom