Magufuli hakufa kwa Corona kafa kwa ugonjwa wa moyo Corona haipo Tanzania labda kwenuMbona Rais wetu hajavaa barakoa.
Korona ipo na tunashauriwa kuchukua tahadhariMagufuli hakufa kwa Corona kafa kwa ugonjwa wa moyo Corona haipo Tanzania labda kwenu
😆😆😆😆At last mama nae atakuwa kapumua!
simpatii picha mume wake na Angela Kairuki uko uchina ubalozini furaha yake itakuwa haina kikomo!
ahahaha
Kuna muda maalum wa kupaki mwezi mmojaNmeamini Serikali Haina shukrani,
Yaani mzee hata hajazikwa bado ila familia tayari ishatimuliwa kwenye nyumba ya serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani vaeni barakoa. Kuna coronaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
Rais Samia amepomtembelea Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Jijini Dar es salaam Machi 19, ambapo aliongozana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ali
View attachment 1729309
View attachment 1729311
HeheheheAt last mama nae atakuwa kapumua!
simpatii picha mume wake na Angela Kairuki uko uchina ubalozini furaha yake itakuwa haina kikomo!
ahahaha
[emoji16][emoji16][emoji16] amekalia kiti Cha uchawaBashiru Ally punguza ku kaba. Najua uta tolewa hapo wala VP hupati.
Hiki kilitakiwa kifanywe na Bashiru kwa familia ya Kijazi... Mwenzie kuapishwa tu, break ya kwanza kutoa poleRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
Rais Samia amepomtembelea Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Jijini Dar es salaam Machi 19, ambapo aliongozana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ali
View attachment 1729309
View attachment 1729311
Unauona uchungu wa janeth Ukilinganisha na uchungu wa Anna Mkapa kipindi kile?Kuna muda maalum wa kupaki mwezi mmoja
nadhani pengine mama ameamua akaomboleze nyumbani kwake....
Hili nalo neno...Kwani ameshtoka Ikulu au nyumbani kwake wapi Tena?
KwamparangeeKwani ameshtoka Ikulu au nyumbani kwake wapi Tena?
SijakusomaUnauona uchungu wa janeth Ukilinganisha na uchungu wa Anna Mkapa kipindi kile?