Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Kipindi kile the late mhe. alitukejeli sana wazaramo eti hatuwezi kumuoa sasa ngoja tuwaonyeshe watanzania wazaramo ni watu wa dizain gani
Amshukuru Mungu she is finally free
Sasa afanye faster aolewe
 
Humjui. Ww ni bendera fuata upepo tu. Huyo hata Uraia wake tuna mashaka nao.
Wala hatutaki watu wa kulinda maslahi ya hayati na team yake.

Pia Rais Mama Samia (ni mwanamke) hawezi kuwa na Katibu kiongozi Mwanaume! Kuna Mambo Ya KIKE hafai kujua siri za Mwanamke!
Unaongea ujinga....
 
Kwamba una suggest katibu mkuu kiongozi nae awe wa kike au?
Ningeweza kukuunga mkono, lakini si kwa sababu hiyo uliyoitaja. Eti kuna mambo ya siri ya kike ambayo Samia hawezi kumwambia,kwahiyo unakili kwamba hakukuwa na sababu yoyote ya msingi Samia kuwa Makamu wa Rais, maana kuna siri nyingine za kiume ambazo hakupaswa kuzisikia?[emoji23].
 
Kuna baadh wa watu akir zao ni finyu mnafulahi mtu kufarik amjui kama kila nafs itaonja mauti kifo ni ibada tunajua kifo kimegusa wanyonge watu wenye mipango yenu nd mnafulahia

Sawa kufa tutakufa tu ila cha muhimu usitangulie kufa.
 
Kuna baadh wa watu akir zao ni finyu mnafulahi mtu kufarik amjui kama kila nafs itaonja mauti kifo ni ibada tunajua kifo kimegusa wanyonge watu wenye mipango yenu nd mnafulahia
Huu ndio mtaji wa CCM hata kuandika hujui.
 
Kila kitu kitabakia.....Samba Mapangala[emoji443][emoji445][emoji444]
 
Kwani hata sisi si rulihamia tu Tanzania way back.Mimi mtu akishamnyoshea kidole mwenzie kwamba sisi raia,namuona kama mtu aliye firisika kimawazo.Acha ujinga, badilikeni.
Najua ww pia ni mkimbizi. Hicho kiswahili ni dhahili. Tz haiwezi kupewa wakimbizi kamwe kuingoza! Tena SAMIA aanze msako rasmi.
 
Back
Top Bottom