Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

TEETH chukueni tahadhari kwa Mama Samia ,awe anavaa barakoa na mambo ya kushikana mikono hayafai ,maana huyo mama muda mwingi anajifuta uso ,avae barakoa na kutumia "SANTAIZA".
Corona hii haina kuaminiana aminiana.
 
Kuanzia leo hadi tar 25.3.2021 siku ya mazishi chato, kama viongozi hawatachukua tahadhari ya corona.tutasikia mengi huko serikalini.

Shetani alizania kashinda baada ya JPM kututoka kumbe ndio katìa mumkari na stima ya stigilasi kwa wapambanaji walio mstari wa mbele.
 
Hivi mke wa marehemu si anaweza kuolewa tena wajameni. Kama Graca Machel vile wakuu.
 
Bashiru Ally punguza ku kaba. Najua uta tolewa hapo wala VP hupati.
Bashiru ni some of the political assets Tanzania has,ni lazima apate ki-box,tena kikubwa.Najua kwa nini unamchukia:ni some of the people ambao watachangia kubana wezi wa mali za uma na wababaishaji wengine.
 
Bashiru ni some of the political assets Tanzania has,ni lazima spate ki-box,tena kikubwa.Najua kwa mini unamchukia,ni some of the people ambayo atachangia kubana wezi wa mali za uma na wababaishaji wengine.
Humjui. Ww ni bendera fuata upepo tu. Huyo hata Uraia wake tuna mashaka nao.
Wala hatutaki watu wa kulinda maslahi ya hayati na team yake.

Pia Rais Mama Samia (ni mwanamke) hawezi kuwa na Katibu kiongozi Mwanaume! Kuna Mambo Ya KIKE hafai kujua siri za Mwanamke!
 
Kwani hata sisi si rulihamia tu Tanzania way back.Mimi mtu akishamnyoshea kidole mwenzie kwamba sisi raia,namuona kama mtu aliye firisika kimawazo.Acha ujinga, badilikeni.
 
Back
Top Bottom