Yaani mnadanganywa kweli kweli.Sanitizer ni sumu,barakoa ina-limit Oxygen supply na ina kufanya uvute ndani(re-inhale) Carbon Dioxide,kitu ambacho kina lower your immune system!Amkeni,Wazungu wana nia mbaya ya kutumaliza.Corona hii haina kuaminiana aminiana.
Hawa watu sijui akili wameziweka wapi!Mbona Rais wetu hajavaa barakoa.
Kwani Bashiru alikuwa msaidizi wa KijaziHiki kilitakiwa kifanywe na Bashiru kwa familia ya Kijazi... Mwenzie kuapishwa tu, break ya kwanza kutoa pole
Mbona wao wanavaa barakoa, hata wao wazungu wapo wenye mawazo kama yako.Yaani mnadanganywa kweli kweli.Sanitizer ni sumu,barakoa ina-limit Oxygen supply na ina kufanya uvute ndani(re-inhale) Carbon Dioxide,kitu ambacho kina lower your immune system!Amkeni,Wazungu wana nia mbaya ya kutumaliza.
Hawa viongozi wetu wote, hawachukui tahadhari ya covidRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais Samia amepomtembelea Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Jijini Dar es salaam Machi 19, ambapo aliongozana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ali.
View attachment 1729309
View attachment 1729311
Mkuu Ikulu huendi na sufuria wala fenicha. Kila kitu ni cha taifa. Mwezi mmoja unapaki nini wakati Ikulu ni ofisi ya Rais mteule? Wakati wewe unapewa mwezi mmoja huyu mwingine anakaa wapi!Kuna muda maalum wa kupaki mwezi mmoja
nadhani pengine mama ameamua akaomboleze nyumbani kwake....
Mwambieni kabisa mshenzi Huyo, ngoja tuingie kwenye maombi maalum lidondokeBashiru Ally punguza ku kaba. Najua utatolewa hapo wala VP hupati.
Please please tunampenda mama walio karibu naye wamuambie achukue tajadhariMbona Rais wetu hajavaa barakoa.
Mama Samia kasoma na ni intelligent, hawezi kufanya ujinga huo.Na kwa taarifa yako,mimi ni Mpare,ila najua huku tulihamia,wanadamu wote tulitoka Middle East,ndio tukasambaa dunia nzima.Najua ww pia ni mkimbizi. Hicho kiswahili ni dhahili. Tz haiwezi kupewa wakimbizi kamwe kuingoza! Tena SAMIA aanze msako rasmi.
Sasa ndio ume andika nn?Kwamba una suggest katibu mkuu kiongozi nae awe wa kike au?
Ningeweza kukuunga mkono, lakini si kwa sababu hiyo uliyoitaja. Eti kuna mambo ya siri ya kike ambayo Samia hawezi kumwambia,kwahiyo unakili kwamba hakukuwa na sababu yoyote ya msingi Samia kuwa Makamu wa Rais, maana kuna siri nyingine za kiume ambazo hakupaswa kuzisikia?[emoji23].
Kamanda ulimaanisha (TISS)TEETH chukueni tahadhari kwa Mama Samia ,awe anavaa barakoa na mambo ya kushikana mikono hayafai ,maana huyo mama muda mwingi anajifuta uso ,avae barakoa na kutumia "SANTAIZA".
Wajinga ni kawaida yao. Coz uwezo wa kuelewa mambo makubwa hawana!!Unaongea ujinga....
Akili za jiwe hizi Bado wewe jinga kabisaYaani mnadanganywa kweli kweli.Sanitizer ni sumu,barakoa ina-limit Oxygen supply na ina kufanya uvute ndani(re-inhale) Carbon Dioxide,kitu ambacho kina lower your immune system!Amkeni,Wazungu wana nia mbaya ya kutumaliza.
Ukiwahi unapata niniKama kila mtu atakataa kutangulia kama wewe,atangulie nani sasa ?
Hakuna anaeweza kukataa kutangulia, hata wewe ni hakika kuna watu utawatangulia utake usitake, iwe leo au miaka 100 ijayo. Kaa nalo kichwani hilo.
That is the law.....kuna nguo picha and other personal properties usikaririMkuu Ikulu huendi na sufuria wala fenicha. Kila kitu ni cha taifa. Mwezi mmoja unapaki nini wakati Ikulu ni ofisi ya Rais mteule? Wakati wewe unapewa mwezi mmoja huyu mwingine anakaa wapi!