Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Ungenijibu tu kwamba yuko chatto ingetosha sio kunifokea kwani kuna ubaya gani mimi kuuliza?
Unajua mkuu,Tanzania tuna maadui wengi sana.Sasa nilidhani ni wale wale wenye nia ovu ya kumdhalilisha marehemu kama walivyozea kumdhalilisha akiwa hai.Unajua,comment yako inaweza kuwa interpreted in many ways.Ila kama ulikuwa na nia njema,I am sorry.Ni kweli nia yangu ilikuwa kukubalasa.
 
Hata pale Ikulu hakukuwa na social distancing yoyote ile.

Walikuwa wamekaa karibu karibu mno.
Dah,kwa kweli ni shida.Watu wengi inaelekea hamjui kwamba mambo kama social distancing,lockdowns na hata barakoa ni conditioning processes for a not very distant future totalitarian World government.Hayana real value and advantage.And people do not also seem to understand that facemasks are extremely dangerous.Yes,they are.
 
Yaani mnadanganywa kweli kweli.Sanitizer ni sumu,barakoa ina-limit Oxygen supply na ina kufanya uvute ndani(re-inhale) Carbon Dioxide,kitu ambacho kina lower your immune system!Amkeni,Wazungu wana nia mbaya ya kutumaliza.
Mbona wao wanavaa pia
 
Aende wapi wakati Mzee hajasitiriwa? Kuna utaratibu mjane hatolewi tu !
Nimtazama sakafu ni kama imechoka, ina maana Ikulu wanasubiri sakafu ichoke kiasi kile!!
1616167058996.png
 
Pole sana Mama yetu Mama Janet Magufuli,
tunakuombea Mungu akupe uvumilivu na faraja ktk kipindi hiki kigumu.
watanzania wote wapo pamoja nawe ktk maumivu uliyoyapata, tunaumia sote, ila kilicho baki kwa sasa ni kumuomba Mungu ampokea Baba yetu Kipenzi chetu Dr. Magufuli apumzike kwa Amani
 
Back
Top Bottom