Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Nmeamini Serikali Haina shukrani,

Yaani mzee hata hajazikwa bado ila familia tayari ishatimuliwa kwenye nyumba ya serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama alivyomtimua yule jamaa Nape nnauye!!! Akajikunjaaa maskini kama alijua vile hivi yuko wapi?

Km uko nae karibu mpige picha kwa siri itupiemo humu!!
 
Hongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.
 
Hongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.
Uongo mwingine huu ulijuaje? Hao watoto mbona hatuwaoni?

Hivi unacheza na baba nini kwa mtoto wa kike????
 
Usalama wa Taifa kwa Nini bado wanaruhusu haya mambo?? Hawataki tu kubadilika??
 
Bashiru Ally punguza ku kaba. Najua utatolewa hapo wala VP hupati.
Huyo Bashiru alisema hatakubali uteuzi mwingine wowote baada ya kuteuliwa kuwa KMK, lakini tumesikia anaumendea u VP, how!!? From obscurity unataka ukamate kila nafasi kubwa nchini, wengine hawapo?
 
Usalama wa Taifa kwa Nini bado wanaruhusu haya mambo?? hawataki tu kubadilika??
Nahisi unasema kuhusu kuchukua tahadhari, nilitamani kuanzia sasa mama asionekane kabisa katika makundi ya watu.
Ziwepo adoptive measures za covid. Asisogelewe kabisaaa aepuke makundi
 
Nimtazama sakafu ni kama imechoka, ina maana Ikulu wanasubiri sakafu ichoke kiasi kile!!
View attachment 1729462
Alikazania midege tuuuuu! Anaishi pachafu!!! Sasa midege itabeba mkaa.
Nje haziendi Tena covid ...zimepigwa pin. Rudisha watumbuliwa.au lipeni stahiki zao nchi itulie!!! Mbaya sana watu kulilia moyoni tena alitumbua kwa ubaguzi basi!
Haya kumbe hata kigae kipya hakununua!
 
Hongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.
POLE MAMA JANAET .....TUNAJUA UNA UCHUNGU SANA MAANA DAKTARI WA RAIS NA KINA BASHIRU WALIKUWA WANAKUFICHA HATA WEWE HALI YA MUME WAKO KWA KUOGOPA ETI WATU WATAJUA KUWA AMEFARIKI ...NAO WALIKUWA HAWATAKI ..MTU AJUE
 
Hongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.
Loooh:
Ila mkewe mzuri..
Hata alivokua msichana !

Ni kweli mdogo wake huyu mama alishare hapo hapo?
 
Nyumba ya kawaida sana, tiles aina 3 zile za bei rahisi

Haina hadhi ya kuwa presidential house, hata ya Mkuu wa wilaya inaizidi hiyo
 
Haya sasa!

Unaonyesha ujuha wa ajabu sana, tena hadharani.

Sijui ni kilaza gani unamlenga hasa kwa upuuzi wa namna hii; au unajiandikia tu kufurahisha roho yako; hakuna lolote unalotaka kueleza watu walifikirie kwa umuhimu wake?
Aliyelala usimuamshe ukimuamsha utalala wewe.Endelea kuuchapa usingizi.
 
Hongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.
Alikuwa analetewa watoto?
 
Back
Top Bottom