I hate the word democracy,it is an empty word.Humjui ktk Utawala! Sema ww ni bendera fuata upepo.. Kifupi hata matendo yake na matamko yake kwenye TV alipo kuwa KATIBU CCM hatufai. Yy ,na polepole ndio wameharibu Taifa la Nyerere lenye Umoja. Wamejenga Chuki, wame ua demokrasia na kugaww Taifa. Rais anakufa watu wanashingilia kisa upuuzi wa huyo. Tunaitaji Tz yenye Umoja, Demokrasia, mshikamano na Utu.
You better fold your mouth!I hate the word democracy,it is an empty word.
What a childish comment!! Kinacho kusumbuwa wewe na wenzako wenye akili fyatu ni: wivu na husuda, mko well organised kumchafua Bashiru na stori zenu za kubuni tu.Huyo Bashiru alisema hatakubali uteuzi mwingine wowote baada ya kuteuliwa kuwa KMK, lakini tumesikia anaumendea u VP, how!!? From obscurity unataka ukamate kila nafasi kubwa nchini, wengine hawapo?
Wewe ndo punguani kabisa, unafikiri nashawishiwa na siasa zenu za maji taka, eti mwenye huluka za Mwl Nyerere na Dk. Magufuli. What a heap of rubbish!!?What a childish comments!! Kinacho kusumbuwa wewe na wenzako wenye akili fyatu ni: wivu na husuda mko well organised kumchafua Bashiru na stori za kubuni tu - mtu mwenye akili timamu awezi kuleta hoja zisizo na kichwa wala miguu, una ushahidi gani kwa mfano kwamba Bashiru ametuma application ya kuomba uteuzi kwenye post husika - tupatie ushahidi sio kujisemea tu - katika viongozi wote ndani ya Serikali na chama why pick on Bashiru kwa lengo la kumpaka matope - kwa nini mnamuona ni tishio kwenu na like mind wenzako? Mnafikiri kamati kuu atayumbishwa na maoni yenu ya kishenzi au mnatumwa na watu wenye hidden agenda ambao wamepania kurudisha nyuma mafanikio makubwa ya JPM ya kuendeleza Taifa letu, kupiga vita ufisadi, wizi na uwajibikaji - hamtaki binadamu mwenye huluka kama za Mwl Nyerere na Dk. Magufuli, mnataka yarudi yale yale ya liase afates kama awamu zilizo pita, je, mnataka turudi kule kule au
Yaani sasa ndio unajifunua zaidi kuliko wakati mwingine wowote kuhusu ujinga/giza nene sna ulilomo.Mimi sitasombwa na upepo wa kimagharibi never,kwa kuwa najua ni illusion.Kalamu wewe ni wa kizazi kilichoibukia na kukulia kwenye awamu za Mwinyi,Mkapa na Kikwete.Kipindi hiki ndipo Wazungu walipotimiza adhma yao uvu ya kuingiza uchafu wao mwingi kwenye vichwa vya watu wetu,including you.Hata historia yetu wameifuta kwa makusudi hayo hayo,wakisaidiwa na vibaraka wao waliowapandikiza kwenye system yetu.Ipo haja, tena kwa makusudi kabisa, kubadili mitaala mashuleni,ili kujaribu ku-flush out mawazo na mentality zote za kimagharibi.
You are indoctrinated and mind controlled by the West Kalamu.I can infact add,you are also enslaved.Na utumwa huu ni mbaya sana, kwa kuwa hujui kwamba umtumwa,and so you cannot get out of it.Hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere talked about this kind of slavery you are you in.Alisema ni utumwa mbaya sana,kwa kuwa hujui kwamba umtumwa,and therefore nobody can get you out of it.
Hayo mengine huko uliyoandika siyajui na wala hayanisumbui; ila haya maneno machache uliyoweka hapa (sitatumia maneno mabaya) siyo sahihi.hamtaki binadamu mwenye huluka kama za Mwl Nyerere na Dk. Magufuli
Umeandika kweli kweli,utafikiri umeandika substance.Yaani sasa ndio unajifunua zaidi kuliko wakati mwingine wowote kuhusu ujinga/giza nene sna ulilomo.
Wakati huu si wakati tena wa kuzungumzia "Magharibi wala Mashariki wala kwingine kokote, enzi hiyo ilishapita zamani sana na bahati yako mbaya wewe ukabaki nyuma, nyuma sana; mbali kabisa hata kabla ya enzi za ukoloni!
Kama umeenda shule, na umesoma kidogo hata kufikia ngazi ya digri ya kwanza, ni wazi kabisa elimu hiyo haikukusaidia kukuondoa ujinga, na kukuwezesha kufikiri na kuchambua mambo. Elimu ambayo Mwalimu Nyerere aliisisitiza; elimu ya kumkomboa mtu na sio elimu ya kukariri tu na kushinda mithani kama unavyoonyesha hapa.
Unapata elimu ya kukuweka huru, na siyo elimu ya kuendelea kukushikilia ubaki na mawazo ya kitumwa kama uliyonayo wewe.
Elimu iliyotuwezesha kuondokana na ukoloni na kutuwezesha sisi wenyewe kutambua na kujiamria ni nini kilicho cha manufaa kwetu.
Elimu inayotupa uwezo kufikiri na kuchambua sisi wenyewe mambo yetu kwa akili zetu na sio kubaki tunalialia juu ya watu wengine toka nje (Magharibi) kama ulivyo ganda wewe.
Elimu inayotuwezesha kujua ni nani rafiki na ni nani adui, na kuamua kukataa kunyanyaswa na yeyote.
Wewe bado umeganda kule kule kwa zamani ukihofia kila kitu kana kwamba huna utashi na uwezo wa kutegemea akili yako.
Tanzania, kama nchi zingine zote, tumepiga hatua sana tokea tupate uhuru wetu.
Tunao sasa hivi wasomi wengi na wazuri, karibu kila aina ya nyanja inayojulikana duniani; hata kama wengi wao hatuwatumii ipasavyo kwa sababu mbalimbali; na sababu mbovu kabisa ni kama huu msimamo wako mbovu kabisa wa kudhani tu kwamba kuna kundi la watu linatuwinda kila mara litumalize!
Tuna watu walio na sifa nzuri kabisa kwenye mambo ya kisayansi, ambayo wewe unaichukulia kana kwamba ni siraha wanayotumia hao wasiotutakia mema kuitumia na kutumaliza, hutaki kabisa kuelewa kwamba tuna wataalam wazuri hapa hapa kwetu wenye uwezo wa kutambua mtego kama upo. Wewe unabaki tu huko huko kwenye 'conspiracy' za hovyo kabisa, kwa kukosa kwako kuwa na elimu ya utambuzi/uchambuzi wa mambo.
Watu kama wewe ndio maadui wakuu ndani ya taifa hili, na kwa bahati mbaya aina yenu baadhi wamo hadi kwenye ngazi za juu kabisa serikalini na ndio wanaofanya maamuzi muhimu.
Tanzania inapata hasara kubwa sana, hasa wakati huu, kwa sababu hata vijana wetu wanaotakiwa kuandaliwa ili wapiganie hadhi ya taifa hili hawapewi fursa hiyo. Tunaachwa nyuma na wenzetu. Itatuchukua muda mrefu sana kuondoka huku nyuma tunakobaki na kufikia ngazi za wenzetu tukishaondokana na mawazo ya watu mgando kama wewe.
Ni shida sana kueleza mambo haya kwa mtu mwenye fikra mbovu kama wewe ili kuweza kukuondoa gizani.
Lakini, kama unataka kubaki huko, baki peke yako, usishawishi na wengine kukubali ujinga wako.
Kalamu ni uzuzu upofu na utumwa kudhani kwamba the West is the best model of development.Nashanga pia kwa nini unamtenga mbali Nyerere na Magufuli kwa kuwa hawa watu wawili wote wana panafrican thoughts.Is it because hukuishi wakati wa Mwalimu Nyerere na hajakuathiri kwa njia yeyote? You know better.Yaani sasa ndio unajifunua zaidi kuliko wakati mwingine wowote kuhusu ujinga/giza nene sna ulilomo.
Wakati huu si wakati tena wa kuzungumzia "Magharibi wala Mashariki wala kwingine kokote, enzi hiyo ilishapita zamani sana na bahati yako mbaya wewe ukabaki nyuma, nyuma sana; mbali kabisa hata kabla ya enzi za ukoloni!
Kama umeenda shule, na umesoma kidogo hata kufikia ngazi ya digri ya kwanza, ni wazi kabisa elimu hiyo haikukusaidia kukuondoa ujinga, na kukuwezesha kufikiri na kuchambua mambo. Elimu ambayo Mwalimu Nyerere aliisisitiza; elimu ya kumkomboa mtu na sio elimu ya kukariri tu na kushinda mithani kama unavyoonyesha hapa.
Unapata elimu ya kukuweka huru, na siyo elimu ya kuendelea kukushikilia ubaki na mawazo ya kitumwa kama uliyonayo wewe.
Elimu iliyotuwezesha kuondokana na ukoloni na kutuwezesha sisi wenyewe kutambua na kujiamria ni nini kilicho cha manufaa kwetu.
Elimu inayotupa uwezo kufikiri na kuchambua sisi wenyewe mambo yetu kwa akili zetu na sio kubaki tunalialia juu ya watu wengine toka nje (Magharibi) kama ulivyo ganda wewe.
Elimu inayotuwezesha kujua ni nani rafiki na ni nani adui, na kuamua kukataa kunyanyaswa na yeyote.
Wewe bado umeganda kule kule kwa zamani ukihofia kila kitu kana kwamba huna utashi na uwezo wa kutegemea akili yako.
Tanzania, kama nchi zingine zote, tumepiga hatua sana tokea tupate uhuru wetu.
Tunao sasa hivi wasomi wengi na wazuri, karibu kila aina ya nyanja inayojulikana duniani; hata kama wengi wao hatuwatumii ipasavyo kwa sababu mbalimbali; na sababu mbovu kabisa ni kama huu msimamo wako mbovu kabisa wa kudhani tu kwamba kuna kundi la watu linatuwinda kila mara litumalize!
Tuna watu walio na sifa nzuri kabisa kwenye mambo ya kisayansi, ambayo wewe unaichukulia kana kwamba ni siraha wanayotumia hao wasiotutakia mema kuitumia na kutumaliza, hutaki kabisa kuelewa kwamba tuna wataalam wazuri hapa hapa kwetu wenye uwezo wa kutambua mtego kama upo. Wewe unabaki tu huko huko kwenye 'conspiracy' za hovyo kabisa, kwa kukosa kwako kuwa na elimu ya utambuzi/uchambuzi wa mambo.
Watu kama wewe ndio maadui wakuu ndani ya taifa hili, na kwa bahati mbaya aina yenu baadhi wamo hadi kwenye ngazi za juu kabisa serikalini na ndio wanaofanya maamuzi muhimu.
Tanzania inapata hasara kubwa sana, hasa wakati huu, kwa sababu hata vijana wetu wanaotakiwa kuandaliwa ili wapiganie hadhi ya taifa hili hawapewi fursa hiyo. Tunaachwa nyuma na wenzetu. Itatuchukua muda mrefu sana kuondoka huku nyuma tunakobaki na kufikia ngazi za wenzetu tukishaondokana na mawazo ya watu mgando kama wewe.
Ni shida sana kueleza mambo haya kwa mtu mwenye fikra mbovu kama wewe ili kuweza kukuondoa gizani.
Lakini, kama unataka kubaki huko, baki peke yako, usishawishi na wengine kukubali ujinga wako.
Mwenye 'substance' ni wewe tu!Umeandika kweli kweli,utafikiri umeandika substance.
Kama unamuonea huruma huyu je umewaza mke wa ben sanane ambae hata mwili wake hakuuona ?! Shenzi zenu acheni unafiki, mchuma janga hula na ndugu zake kwanini huyo mama hakumshauri mumewe awe na utu ?So so pain! ,mama MUNGU akupe faraja pole ,apumzike kwa amani nasi tutaungana katika umauti
Mbona hutaki kuelewa wewe?Kalamu ni uzuzu upofu na utumwa kudhani kwamba the West is the best model of development.Nashanga pia kwa nini unamtenga mbali Nyerere na Magufuli kwa kuwa hawa watu wawili wote wana panafrican thoughts.Is it because hukuishi wakati wa Mwalimu Nyerere na hajakuathiri kwa njia yeyote? You know better.
Magufuri hajafa na Corona ,usalama wasingeruhusu kusalimiana kwa kushikana mikono na mjane wa marehemu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais Samia amepomtembelea Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Jijini Dar es salaam Machi 19, ambapo aliongozana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ali.
View attachment 1729309
View attachment 1729311
Kinondoni maeneo ya Arda Estate Rais Magufuli alikua na Nyumba yake kubwa sanaaNyumbani kwake wapi tena mke wa Rais si anaishi Ikulu?Ametolewa lini hapo Ikulu?
Sawa mkuuKinondoni maeneo ya Arda Estate Rais Magufuli alikua na Nyumba yake kubwa sanaa
Kuna watu hawashauriki.Kama unamuonea huruma huyu je umewaza mke wa ben sanane ambae hata mwili wake hakuuona ?! Shenzi zenu acheni unafiki, mchuma janga hula na ndugu zake kwanini huyo mama hakumshauri mumewe awe na utu ?
Hiki hakiwezi kuwa kielelezo sahihi.Magufuri hajafa na Corona ,usalama wasingeruhusu kusalimiana kwa kushikana mikono na mjane wa marehemu.
..hakuna usalama siku hizi,kuna kikundi cha kumuabudu na kumlamba miguu magufuli.Magufuri hajafa na Corona ,usalama wasingeruhusu kusalimiana kwa kushikana mikono na mjane wa marehemu.
Hata Mimi ningekuwa rais kuna watu ningewauwa ,maana kuna watu ni wapambe na hawaelewiKama unamuonea huruma huyu je umewaza mke wa ben sanane ambae hata mwili wake hakuuona ?! Shenzi zenu acheni unafiki, mchuma janga hula na ndugu zake kwanini huyo mama hakumshauri mumewe awe na utu ?