Rais, Mawaziri, Wabunge wa maafisa/watumishi wengine wa Serikali hawalipi kodi lakini ndiyo wanapangia wengine kiasi cha kodi cha kulipa

Soma vizuri hapo. Levied by goverment on worker's income. Hiyo goverment inayotoza kodi ni ipi? Ndiyo wabunge, Rais, mawaziri na wafanyakazi wa serikali. So, serikali(Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wa serikali,) ndiyo inayotoza wengine kodi. Wao wanaitumia kwa kufanya shughuli, kutoa huduma na kulipana mishahara. Kuhusu kodi wao hawalipi hata mia.


Na sina hakika sana, lakini wafanyakazi wa serikali ni civil servants, sidhani kama ni workers wale wazalishaji.
 
Moja ya matumizi ya serikali ni pamoja na malipo ya watumishi, ujenzi wa miundombinu na manunuzi ,matengenezo n.k. Je wewe unapomlipa house girl wako unakuwa umemuhonga au ni haki yake? Hawa ni watumishi wa uuma na serikali haina chanzo cha mapato zaidi ya kodi na mikopo sasa ulitaka iwalipe kwa kutumia nini au ulitaka wajilipe kwa njia ya rushwa?
 
Malipo hayo ni stahiki yao kabisa kwa kazi walizofanya. Lakini shida ni pale wanapotaka kusema na wao wanalipa kodi. Rais, mawaziri, wabunge, na wafanyakazi wengine wote wa serikali hawalipi kodi hata mia. Wao wanatumia kodi. Ubaya ni pale haohao wanapopangia wanaolipa kodi kiasi cha kulipa.

Hivi mchungaji ambaye mshahara wake unatokana na sadaka, akilipa sadaka kutakuwa na ongezeko lolote la sadaka iliyolipwa? Je ni sawa kwa mchungaji anayelipwa kutokana na sadaka kupewa mamlaka ya kuamua na kupanga kiasi cha Sadaka kinachopaswa kulipwa na kila mtu? Si siku zote atataka sadaka iwe juu?!
 
Nimekuelewa vizuri hoja yako asante
 
sijajua kama kweli una abc za taxation.mm naamini haitatokea nchi ikakusanya kodi zero.ss tumeadapt mifumo ya kodi kutoka kwa mataifa yaliyoendelea.mfanyakazi analipa kodi kama hujui pekua vitabu zaidi upanue wigo wa maarifa yake.
 
sijajua kama kweli una abc za taxation.mm naamini haitatokea nchi ikakusanya kodi zero.ss tumeadapt mifumo ya kodi kutoka kwa mataifa yaliyoendelea.mfanyakazi analipa kodi kama hujui pekua vitabu zaidi upanue wigo wa maarifa yake.
Wafanyakazi wanaolipa kodi ni wale walioajiriwa sekta binafsi. Na kwa nchi nyingi, hata hapa kwetu ndiyo wengi. Ukitoa wanajeshi, wafanyakazi wa Umma nchi hii hawafiki laki sita. Hili la kusema mtu kama Rais au mawaziri na wabunge wanalipa kodi ni udanganyifu.
 
Kwa akili yako mbovu unadhani wafanyakazi wa serikali ndio serikali yenyewe.

Kwahiyo wanatakiwa kufanya kazi BURE bila malipo yoyote.
 

 
ndugu yangu hapa umelikoroga kweli na sijui unatumia principle gani hiyo ya kiuchumi.kwamba mtumishi halipi kodi!unamainisha nini hasa mm bado sijaielewa hoja yako ya msingi.kwa hiyo mfano kiwanda kimeajiri wafanyakazi na hao wafanyakazi wakikatwa kodi kwenye mishahara hiyo siyo kodi.labda tuweke sawa tukuelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…