Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

[emoji57]
 
Kitu ambacho wanachadema kinawapa taabu sana ni kutofahamu kuwa, siasa ni vita ya baina ya waaminio mawazo tofauti kisiasa, Usitegemee chama kama hakibebi maono yako kisiasa kiwe chama unacho kiamini na unataka huruma kwayo.

Naona kuna jitihada kubwa kwa baadhi ya wanachadema kutaka CCM kiwe na huruma kwa Chadema, hicho kitu hakiwezekani na hakipo kisiasa, politics is interest na sio kutafuta wawe fair, kwa nini wawe na huruma nawewe na kwa sababu gani .

Ukipigwa unatakiwa wewe utafute mbadala wa kujibu mapigo kisiasa. Msitegemee huruma vitani. Magufuli ni mwana CCM na atafanyia interest za CCM na sio za Chadema.
 
Mtwara nako hakuko shwari
 
We endelea kulia tuu, nchi inasonga mbele kwa kasi.
 
Nacho amini binadamu hutoboa tu hata hali Iwe ngumu kias gani,hakuna kiumbe kigumu na kivumilivu kama binadamu
 
Na utalia sana, si ulimmezesha Ben Saa nane kwa Chatu, au siyo wewe?
Ikiwa kweli nilifanya uwo uwovu basi pia ndio nilie ivuruga chademA maana pia nilitabiri
 
Mkuu post zako nyingi zimekuwa za kulalamikia huu utawala, kipi kilikukumba ?
 
This time Tomorrow by Ngugi Wa Thiong'o!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Origin yahaka kauzi ni ndani yaviunga vya ufipa Street. Hiyo ni sababu tosha kukapuuzia haka kauzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…