Huyu jamaa ni CCM kindaki ndaki na alihusika na kupotea kwa Ben saanane. Kwahiyo hana chembechembe ya CHADEMA kabisa.Kitu ambacho wanachadema kinawapa taabu sana ni kutofahamu kuwa, siasa ni vita ya baina ya waaminio mawazo tofauti kisiasa, Usitegemee chama kama hakibebi maono yako kisiasa kiwe chama unacho kiamini na unataka huruma kwayo.
Naona kuna jitihada kubwa kwa baadhi ya wanachadema kutaka CCM kiwe na huruma kwa Chadema, hicho kitu hakiwezekani na hakipo kisiasa, politics is interest na sio kutafuta wawe fair, kwa nini wawe na huruma nawewe na kwa sababu gani .
Ukipigwa unatakiwa wewe utafute mbadala wa kujibu mapigo kisiasa. Msitegemee huruma vitani. Magufuli ni mwana CCM na atafanyia interest za CCM na sio za Chadema.
Umeongea ukweli bro.Kitu ambacho wanachadema kinawapa taabu sana ni kutofahamu kuwa, siasa ni vita ya baina ya waaminio mawazo tofauti kisiasa, Usitegemee chama kama hakibebi maono yako kisiasa kiwe chama unacho kiamini na unataka huruma kwayo.
Naona kuna jitihada kubwa kwa baadhi ya wanachadema kutaka CCM kiwe na huruma kwa Chadema, hicho kitu hakiwezekani na hakipo kisiasa, politics is interest na sio kutafuta wawe fair, kwa nini wawe na huruma nawewe na kwa sababu gani .
Ukipigwa unatakiwa wewe utafute mbadala wa kujibu mapigo kisiasa. Msitegemee huruma vitani. Magufuli ni mwana CCM na atafanyia interest za CCM na sio za Chadema.
Huyu jamaa ni CCM kindaki ndaki na alihusika na kupotea kwa Ben saanane. Kwahiyo hana chembechembe ya CHADEMA kabisa.
Una akili nzuri wewe, au unajiandikia tu kujifurahisha?Ukipigwa unatakiwa wewe utafute mbadala wa kujibu mapigo kisiasa. Msitegemee huruma vitani. Magufuli ni mwana CCM na atafanyia interest za CCM na sio za Chadema.
Una akili nzuri wewe, au unajiandikia tu kujifurahisha?
CHADEMA watapata wapi jeshi la polisi na makorokoro mengine yote yaliyobinafsishwa na mtu mmoja?
Hapana sio kweli ndugu, tunataka fair ground kwa shughuli za kisiasa na wala sio huru za CCM. Tunachotaka ni kufuata katiba na sheria za nchi ambazo zimetoa uhuru kwa kila chama cha siasa kufanya shughuli zake na sio CCM tu ndio ionekane ina haki kuliko vyama vingine. Rais anatoa matamko ya kuzuia shughuli za kisiasa kwa vyama vingine wakati akiwapa nafasi CCM na wakati sheria ziko wazi vyama vingine vina nafasi ya kufanya siasa sasa wanapodai haki yao sio kutaka huruma kwa CCM elewa hilo. CCM inatumia vyombo vya dola kukandamiza vyama vingine sheria ziko wazi vyombo vya dola havitakiwi kuwa biased bali vifuate sheria katika kutimiza majukumu yake na sio in favour of CCM na viongozi wake. Palipo na madhaifu ya kikatiba pia vyama vya upinzani vinapigania marekebisho na sio kutaka huruma ya CCMKitu ambacho wanachadema kinawapa taabu sana ni kutofahamu kuwa, siasa ni vita ya baina ya waaminio mawazo tofauti kisiasa, Usitegemee chama kama hakibebi maono yako kisiasa kiwe chama unacho kiamini na unataka huruma kwayo.
Naona kuna jitihada kubwa kwa baadhi ya wanachadema kutaka CCM kiwe na huruma kwa Chadema, hicho kitu hakiwezekani na hakipo kisiasa, politics is interest na sio kutafuta wawe fair, kwa nini wawe na huruma nawewe na kwa sababu gani .
Ukipigwa unatakiwa wewe utafute mbadala wa kujibu mapigo kisiasa. Msitegemee huruma vitani. Magufuli ni mwana CCM na atafanyia interest za CCM na sio za Chadema.
Yes huyu huyu TumainiElNani huyo? TumainEll ?
MRais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya CCM 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali machozi yakutakia heri utukomboe sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango.
Rais Baba yangu nini kimekukuta mbona siamini ninachokiona ? Taifa lipo kimya na wengi tumeshika roho zetu hofu imetushika furaha imetutoka. Ingia maofisini watu hawajuwi hatima yao ya kesho hali ni ngumu ya maisha na inaonyesha itakuwa ngumu zaidi.
Nenda kwenye bihashara pesa hakuna na hata kile kidogo wanakipata TRA wanakivuta Kwa makadirio makubwa ya Kodi watu wanafunga bihashara.
Nenda kwenye siasa Kuwa upinzani ni kuwa adui wa Taifa na wala sio kusikilizana na kujenga Taifa.
Njoo mtaani chuki inetanda umoja wakitaifa unataka kuyeyuka na watu hawapendani na kuchongeana TAKUKURU.
Rais Mimi nalia nalia kweli kuna Watu wanatutafuna kama Kuku katika banda kweli ya Libya ndio yapo hapa Tanzania?
Kweli for 5 years hakuna ajira kweli watu wanamikopo vijana hawana kazi hivi kweli na Watoto wenu hawana ajira kama Watoto wa walala hoi huku mtaani?
Mimi nalia nalia Tanzania kama Mungu angemfufua Baba wa Taifanaimani piangelia sana.
Mimi nalia nalia na kutubu kama kweli sisi Raia wako tuliokupigia kura na tusiokupigia kura kweli unatufanya hivi, Je, twende wapi?
Mbona umetufumbua macho kiasi imani yetu juu ya Serikali inazidi kushuka.
Mungu hivi ni kweli umetusahau Watanzania ama tumekosea wapi tusamehe tusamehe Baba. Amen
Wajinga wengi sana, na kushinda njaa ndio utakuwa kiongozi mzuri sio kuwa hupungukiwi.Yes huyu huyu TumainiEl
Alimtishia Saanane maisha humu wiki chache kabla hajatoweka.
Nashangaa leo analialia
Laiti ungejuwa. SorryWewe si mmojawapo wanaopigia chapuo nchi kuwekewa vikwazo au umesahau?
Milango itaanza kufunguka mwezi Januari 2021 na kuendelea kwa sasa fanya kazi halali yenye kukuwezesha kujipatia kipato.
Kama unataka mikopo jiunge na wenzio msajiliwe kisha nendeni halmashauri mkaombe huo mkopo ambao usifikiri ni enzi hizo kwamba unaweza ukatafuna bila marejesho na usikutokee puani.
Hakuna nchi yoyote duani iliyofaulu kuwapatia vijana wote wote ajira, srikali imekusomesha ili uweze kupambana na changamoto za mazingira yanayokuzunguka.
Hata hivyo wewe una ndimi mbili, mwanzo wa awamu ya kwanza ya awamu hii ya tano ulikuwa mshirika mzuri wa serikali lakini kilichotokea hapo katikati unakijua mwenyewe si kwa kumnanga mkuu wa nchi kwa mtindo wa kutweza jinsi hiyo.
Wewe ni raia kama wengine, unavumiliwa sana kutokana na maudhi yako inawezekana ulitumbuliwa mahali fulani ndiyo maana una nongwa na kijiba cha roho hadi sasa.
Mkuu upo Mtwara?Mtwara nako hakuko shwari
Nimeshindwa Kuwa mnafiki na ningefurahi Sana kama Sera angebadilisha Kwa masilahi ya Taifa this is my feedback not otherwise.Wewe si mmojawapo wanaopigia chapuo nchi kuwekewa vikwazo au umesahau?
Milango itaanza kufunguka mwezi Januari 2021 na kuendelea kwa sasa fanya kazi halali yenye kukuwezesha kujipatia kipato.
Kama unataka mikopo jiunge na wenzio msajiliwe kisha nendeni halmashauri mkaombe huo mkopo ambao usifikiri ni enzi hizo kwamba unaweza ukatafuna bila marejesho na usikutokee puani.
Hakuna nchi yoyote duani iliyofaulu kuwapatia vijana wote wote ajira, srikali imekusomesha ili uweze kupambana na changamoto za mazingira yanayokuzunguka.
Hata hivyo wewe una ndimi mbili, mwanzo wa awamu ya kwanza ya awamu hii ya tano ulikuwa mshirika mzuri wa serikali lakini kilichotokea hapo katikati unakijua mwenyewe si kwa kumnanga mkuu wa nchi kwa mtindo wa kutweza jinsi hiyo.
Wewe ni raia kama wengine, unavumiliwa sana kutokana na maudhi yako inawezekana ulitumbuliwa mahali fulani ndiyo maana una nongwa na kijiba cha roho hadi sasa.
Hiv ndio hii umbwa ilomuonya jamaa kwenye uzi flan eeh?!!Na utalia sana, si ulimmezesha Ben Saa nane kwa Chatu, au siyo wewe?
Mkuu,Nirishasema...
"Awamu hii sio awamu ya raha"...
"Hata mke wangu nyumbani hanipi raha"
Conclusion yako kuhusu viumbe haiko kisayansi kabisa. Kuna nyoka na ngamia wanadunda maisha kwenye jangwa la Sahara kule, ungewaona ungefuta kauli tu..🤠Nacho amini binadamu hutoboa tu hata hali Iwe ngumu kias gani,hakuna kiumbe kigumu na kivumilivu kama binadamu